DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,688
Nimejikuta naandika thread hii Hivi Kumbe maandamano ya Wall street Yana Mkono wa Marekani "OCCUPY WALLSTREET 99%'' kwa sababu kila evolution dhidi ya ubinadamu wa Wanadamu kutaka kushirikishwa na sio kutumikiswa basi nyuma ya hayo matukio kuna Mkono wa Taifa la Marekani na Marafiki zake kama Uingereza na Ufaransa.
Kinachojili katika dunia hiii ni Mwandamu anataka nafasi yake katika utu [Dignity],yalipoanza mapinduizi ya dola za kiarabu yakiongozwa umma, sisi waafrika tulio wengi tulishinikiza na tunashinikiza kwa kusema kuwa huo ni mkono wa Marekani na Maswaiba wake.Lakini atuangalii UTU ama UBINADAMU wao hao raia wa dola za kiarabu unajengwaje na DOLA hizo na wana nafasi gani katika urithi wa Mali a Taifa lao.
Haya leo hii STYLE ile ile iliyotumiwa na inatotumiwa na Raia wa Nchi za Kiarabu kuziazibu dola zao ndizo hizo hizo zinatumiwa na RAIA wa Marekekani wao wakishinikiza kuziazibu taasisi za kifedha zilizo ndani ya Nchi yao WALL STREET, nategemea tuhuma hizo za Markani kusababisha maasi ya Nchi za Kiarabu pia zitumwe kwa kusababisha maasi yanayokuja ya WALL STREET.
Haya wale Wanaokurupuka kuwatuhumu Marekani na Propaganda za miaka nenda ludi kila kitu ni Mkono wa Marekani hili nalo likoje tusaidieni.