Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,285
Kuna mambo media za magharibi zinaficha, lakini hili wanalionyesha, mapema leo
nimeona habari hizi kwenye bbc world news. Na hata hapo ulipo ukifungua web yao habari hizi zimo tena kwa kirefu. Kwa nini tunajenga tabia ya kuwazushia watu tusiowapenda/tusiokubaliana nao????
Wewe unafikiri haya maandamano yamenaza lini, na kuripotiwa kumeanza lini?