Walivyonifanyia mabinti, kabla na baada ya balehe

Hao madada ni machangu kabisa hawashikiki hayo masuala ya kujua na kuanza mapenzi mapema yapo sana pwani pwani na maeneo yenye maziwa waishio mwambao wa maziwa.
Maeneo hayo wengi hutolewa bikra mapema.
 
Wakati mwingine nakosa ladha ya mapenzi nikifikiria vitu kama hivi Ndio sababu bikra zimekuwa adimu sana kwa mabinti zetu tatizo ni sisi wazazi tunasihau sana na kuamini watoto wote ni sawa kumbe kuna watoto wahuni kama mleta mada
Hhaha Mkuu, nilikua nakumbwa na hizi kadhia bahati mbaya. Sikua nadhamiria.
Shetani tu huyu.
 
Nishapigishwa sana deki kweye visimi enzi za chekechechea mpaka darasa la kwanza.wazazi kuweni makini san na watoto wenu wadogo,na mazingira yanayowazunguka nyumbani na shuleni na interaction zao,hakikisha mnakuwa na ukaribu wa hali ya juu na watoto wenu kiasi waweze kuwaambia yote yanayoendelea katika maisha yao na muwaandae kukabiliana na mabazazi.watoto wadogo wanakutana na mitihani mingi sana katika maisha yao na bahati mbaya kujitetea hawawezi.na wazazi ndo sisi tuko bize na kusaka tonge.nachoshukuru mungu walau nilifanyiwa huo uovu na mabinti,ingekuwa na wanaume wangekuwa marehemu sasaiv.
Ni kweli mkuu, hasa watoto wa kiume huwa ndio hawaangaliwi kabisa.
Nadhani hii inatokana na kutopata madhara ya haraka kama ilivyo kwa watoto wa kike.

Wazazi wanatakiwa kuwa makini sana.
 
Back
Top Bottom