JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,626
Wandugu ndio maana mnaambiwa mwende shule kwanza!! Hebu tazama hata habari yenyewe ilivyokaa. Duu!!
By Honolulu
Angalia walikoitoa hiyo picha. Yaani huyu naye ni Sheikh kweli?
http://img.auctiva.com/imgdata/1/4/7/1/6/7/6/webimg/446309610_o.jpg
kama haifunguki copy yote halafu u paste kwenye google.. au gonga hapa:
Fake Bullet Holes And Damage Stickers Make The Perfect Illusion ...
Jama hii ya kutaka kum (sacination) Sheh Farid itakuwa ni mipango ya Usalama wa Taifa wakishirikiana na vigogo ndani ya Serekali zote mbili ya Muungano(Bara) na ya Zanzibar kwa wale wenye kupinga Serekali ya umoja wa kitaifa na kupinga Uamsho kwa kisingizio cha kupinga Muungano.
Hili liko wazi na lina mkono wao nazani Wazanzibar list za watu hawa tunazijuwa ninani na nani na tunazo.
Hawa ni wale wenye kutumia mabavu na nguvu ya Dola vibaya , lakini ikiwa wanataka kuvuruga amani ya nchi na utulivu uliopo hivi sasa Zanzibar basi wajuwe chombo kikizama na wao wamo wala hawatoki.
Hawa hawajafahamu kuwa dunia ya leo sio ile ya jana , ufanye utakavyo uachiwe tu, tutatumia nguvu yetu ya people power juu ya wamaya hawa.
Mungu ibariki Zanzibar na viongozi wetu wote wa Uamsho.
Kwa kipindi changu chote cha Umri wangu takriban 46 Yrs haijapatapo kusikia Znz kuna mgooro wa KIDINI. Mi nilikuwa najua kulikuwa na migogoro ya Kisiasa yaani CCM na CUF.
Sasa kwa mtu makini ukijiuliza kulikoni kuwe na mgogoro huu wakti zaidi ya 99% ni waislam naona kuna namna hapo.
Kwa mujibu wa Historia migogoro ya kidini ilikuwa itokee Tanganyika na si Znz. Kwani wao hilo ni kovu la ukoloni wa waingereza. Kenya na Uganda walitumia ukabila na Tanganyika walitumia Udini katika kuwatawala.
Nafikiri na kushawishika kusema haya ni madhwara makubwa sana ya Muungano. Nasimama kwa upande wa Msimamo wa waZnz kuwa ni BORA MUUNGANO WENU UANGALIWE UPYA ILI USILETE MADHWARA KWA JAMII ZOTE.
Angalia walikoitoa hiyo picha. Yaani huyu naye ni Sheikh kweli?
http://img.auctiva.com/imgdata/1/4/7/1/6/7/6/webimg/446309610_o.jpg
kama haifunguki copy yote halafu u paste kwenye google.. au gonga hapa:
Fake Bullet Holes And Damage Stickers Make The Perfect Illusion ...
It is True. Edited oneHio picha ya izo vitobo vya bullets ni edit! Na inaonekana hasa kama editing!! Khatari kweli
nimekupata
chakufanya report