Sina rival yoyote na mleta mada .. najaribu kusimama kwenye ukweli...! habari aliyoleta athibitishe kama gari kweli shekh alionesha ni yake.. kama sivyo basi mleta mada ni mzushi na kwa sheria za JF afungiwe kwa kipindi fulani
Hili jamaa limejificha dawa nikutangaza kuna hitma halafu pilau na ndizi mbivu zitakuwepo kwa wingi lazima atoke huko mafichoni ili aje afinye Hilo pilau
huyu jamaa hajatekwa wala nini, ana attention seeking disorder, na anawatumia wafuasi wake wazenji kinyume na maumbile ya fikara zao
Hawa waarabu wana ajenda ya siri ya kumrudisha sultani kwa kuwatumia waislam ambao hawajui kinachoendelea. Wambie wakajaribu hii Saudia, Yemen au Qatar waone shingo zao kama hazitegeuzwa za kuku. Walaaniwe na washindwe. Hivi kweli usalama wa taifa wakimtaka mjinga kama huyu watamkosa au ni kutafuta sifa na chanzo cha vurugu?
Mkuu nisamehe kama lugha kali sanaMkuu Janjaweed mbona unaleta misamiati mipya kwenye lugha yetu! Watu wanatumiwa kinyume na maumbile ya fikra zao!?
Mkuu watu wa aina ya huyu sheikh unawaachia FBI/CIA wanahagaika naye na matokeo yake yataonekana haraka. Kumbuka kilichompata mhadhiri mmoja wa kidini kule Mombasa akijulikana kwa jina la Sheikh Abdul Rogo. Tayar ameishakuwa historia.
Mkuu nisamehe kama lugha kali sana
Ila sioni namna yoyote ya kutafakari huyu jamaa amachowafanyia supporters wake, ukifuatilia wanavyosema ametekwa, unapata hisia kabisa ni choreographed