Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,921
- 30,265
Lipumba hakushiriki kuijenga cuf , kaikuta cuf iko imara .Lipumba kaamua kubomoa kabisa nyumba aliyoijenga kwa jasho machozi na damu kisa njaa.
Mzee Mohamed Said hivi katiba ya cuf inaruhusu lipumba kukaa na hawara ake chumbani na kuja na Tamko la kumfukuza katibu mkuu ?Mtoro: Sheikh Mohamed Said ; on your opinion what is the ultimate of CUF ?
Nimekuandika kisha nimefuta...naogopa hata hata kusema kaka.
Umeweza kusoma mwandiko wangu?
1995 Uchaguzi Mkuu siku chache kabla ya ‘’D Day,’’ taarifa zilizotufikia tukiwa Zanzibar ni kuwa CCM wameelekezwa wakapige kura mapema sana halafu maskani watafanya vurugu CCM ikiwa inaongoza na ''riot police,'' wataingia na vituo vitafungwa CCM wakiwa wanaongoza mbele ya CUF.
Hizi ndizo taarifa tulizokuwanazo.
Kwa nini iwe hivyo?
Dalili zote zilikuwa zinaonyesha kuwa CUF itashinda uchaguzi sasa njia ya ku-''pre empty,'' ni CCM kuwahi mapema kupiga kura kisha vurugu.
Vumbi litakapotulia na kuanza kuhesabu kura itaonekana CUF walikuwa wanashindwa uchaguzi wakaamua kufanya fujo.
Lakini CUF ni chama kina mshikamano na nidhamu ya ajabu.
Wanachama wameambiwa baada ya Salat Fajr unatoa salamu ya upande mmoja unanyanyuka unakwenda kituoni kupiga kura.
Hakuna kuvuta uradi.
Uradi utavuta njiani.
Siku hii ya Jumamosi 21 Oktoba 1995 Prof. Lipumba akaunguruma Kibanda Maiti akasema kumwambia Rais Ali Hassan Mwinyi yeye kama, ''Commander in Chief,'' ana nguvu ya kuzuia damu isimwagike Zanzibar katika uchaguzi.
Hotuba hii ilinyanyua nyoyo za CUF Zanzibar.
Sheikh Mtoro mimi nipo, ''on the ground,'' naona kila kitu kwa macho yangu tena, ''at 0 distance.''
Naam matokeo Tume ya Uchaguzi Zanzibar wameshindwa kuyatoa wanaingia na kutoka hawajui nini wafanye. Ukweli umewadhihirikia...
Maalim kashinda?
Matokeo yale mimi hadi leo ninayo na naweza nikayaweka In Shaa Allah mkayasoma kama somo la historia.
Ali Ameir akaandika barua Tume kukataa matokeo ya Uchaguzi wa 1995 Zanzibar.
Leo ninaposikia kuwa Prof. Lipumba kamfukuza Maalim Seif nafasi ya Katibu Mkuu CUF kwangu mimi mengi yanarejea kwenye fikra zangu...
Hakika siasa ni mchezo mchafu!
Mtoro: Sheikh Mohamed Said ; on your opinion what is the ultimate of CUF ?

Mungu atamlipia kwa anayotendaProfesa anatumika...siasa sio mchezo mchafu tu...bali kibongo bongo siasa ni mchezo wa maslahi....too bad maslahi binafsi...pole kwa watanzania wapenda demokrasia.
lipumba hovyooob
Lipumba hakushiriki kuijenga cuf , kaikuta cuf iko imara .
Alimfukuza Mapalala kwa kosa gani? Kila kitu ni aibu kikifanywa kinyume cha makubalianoMaalim Seif ndo alianza mchezo wa kufukuza wenzake katika Chama, kabla ya kuwa CUF hii ya sasa Maalim alimtoa Chamani James Mapalala tena kwa aibu, wakati Ndugu James Mapalala ndo alishiriki kuianzisha CUF akisaidian
Elimu Inashushwa Sana Thamani Hapa Nchini Kwetu..
Yani Lipumba Anatia Kinyaa Kuliko Kinyesi Cha Mgonjwa Wa ukimwi..
Siyo kwamba mfumo kristo ndiyo unaivuruga CUF?Mtoro: Sheikh Mohamed Said ; on your opinion what is the ultimate of CUF ?
Nimekuandika kisha nimefuta...naogopa hata hata kusema kaka.
Umeweza kusoma mwandiko wangu?
1995 Uchaguzi Mkuu siku chache kabla ya ‘’D Day,’’ taarifa zilizotufikia tukiwa Zanzibar ni kuwa CCM wameelekezwa wakapige kura mapema sana halafu maskani watafanya vurugu CCM ikiwa inaongoza na ''riot police,'' wataingia na vituo vitafungwa CCM wakiwa wanaongoza mbele ya CUF.
Hizi ndizo taarifa tulizokuwanazo.
Kwa nini iwe hivyo?
Dalili zote zilikuwa zinaonyesha kuwa CUF itashinda uchaguzi sasa njia ya ku-''pre empty,'' ni CCM kuwahi mapema kupiga kura kisha vurugu.
Vumbi litakapotulia na kuanza kuhesabu kura itaonekana CUF walikuwa wanashindwa uchaguzi wakaamua kufanya fujo.
Lakini CUF ni chama kina mshikamano na nidhamu ya ajabu.
Wanachama wameambiwa baada ya Salat Fajr unatoa salamu ya upande mmoja unanyanyuka unakwenda kituoni kupiga kura.
Hakuna kuvuta uradi.
Uradi utavuta njiani.
Siku hii ya Jumamosi 21 Oktoba 1995 Prof. Lipumba akaunguruma Kibanda Maiti akasema kumwambia Rais Ali Hassan Mwinyi yeye kama, ''Commander in Chief,'' ana nguvu ya kuzuia damu isimwagike Zanzibar katika uchaguzi.
Hotuba hii ilinyanyua nyoyo za CUF Zanzibar.
Sheikh Mtoro mimi nipo, ''on the ground,'' naona kila kitu kwa macho yangu tena, ''at 0 distance.''
Naam matokeo Tume ya Uchaguzi Zanzibar wameshindwa kuyatoa wanaingia na kutoka hawajui nini wafanye. Ukweli umewadhihirikia...
Maalim kashinda?
Matokeo yale mimi hadi leo ninayo na naweza nikayaweka In Shaa Allah mkayasoma kama somo la historia.
Ali Ameir akaandika barua Tume kukataa matokeo ya Uchaguzi wa 1995 Zanzibar.
Leo ninaposikia kuwa Prof. Lipumba kamfukuza Maalim Seif nafasi ya Katibu Mkuu CUF kwangu mimi mengi yanarejea kwenye fikra zangu...
Hakika siasa ni mchezo mchafu!
Na wakati ule Mandevu anawafukuza kina Mapalala na Mloo nakuwa mnafiki eeh?Sijui ni Asili ama kitu gani, Watu wa Kigoma na Tabora wana unafiki sana wanakugeuka kweupe, na hili nalisema wala sio suala la deen maana watu kwa Rufiji, Kilwa wana misimamamo thabiti na sio rahisi kuwayumbisha au kukugeuka
Lipumba anafata nyayo za nduguze
Mandevu ndiyo alianza mchezo wa kuwafukuza wenzake, kina James Mapalala, Shaban Mloo, etc. Sasa yanamrudiaLipumba hakushiriki kuijenga cuf , kaikuta cuf iko imara .
Taratibu mmeanza kukubali kuwa mwenye nguvu ni Lipumba. Mandevu alipotezwa na LowassaMzee Mohamed Said hivi katiba ya cuf inaruhusu lipumba kukaa na hawara ake chumbani na kuja na Tamko la kumfukuza katibu mkuu ?
Bosi nikukumbushe Mloo hajafukuzwa CUF alikuwa Makamo Mwenyekiti mpaka alipostaafu. Naomba kama hujuwi kitu nenda ukakune nazi.Na wakati ule Mandevu anawafukuza kina Mapalala na Mloo nakuwa mnafiki eeh?