Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Ni ulimbukeni wao tu. Hilo silo aliloambiwa afanye. Aliambiwa ambusu utosini sio mdomoni. Hayo sasa ni kuonyesha alivyo na hamu naye hata kabla ya giza kuingia
na kweli kuna mmoja kameza mwenzie
Hahahaha jamaa kachoka halafu yuko serious kabisa
Na anaonekana ni mapepe sana.huyu mdada ana ujasiri mkubwa sana, mbasha itabidi amuogope kuliko wanadamu wote, alikuwa na uwezo kumfanya chochote hata kumtoa roho. hivi kweli mtu aliyekuwa ameolewa kwa ndoa na shamrashamra zile anaweza kufanya kitu kama hiki mbele za watu tena hapa hapa tz? wangekuwa wazungu tungesema hao wameranduka, lakini mjukuu wa askofu huyu? dah?
na kweli kuna mmoja kameza mwenzie
Moyo wa mtu ni kiza kinene hasa unapompa shetani nafasi rohoni mwako huku kimwili ukijifanya wewe ni wa Kristohuyu mdada ana ujasiri mkubwa sana, mbasha itabidi amuogope kuliko wanadamu wote, alikuwa na uwezo kumfanya chochote hata kumtoa roho. hivi kweli mtu aliyekuwa ameolewa kwa ndoa na shamrashamra zile anaweza kufanya kitu kama hiki mbele za watu tena hapa hapa tz? wangekuwa wazungu tungesema hao wameranduka, lakini mjukuu wa askofu huyu? dah?
KazidiwaHahahaha jamaa kachoka halafu yuko serious kabisa
Ndio ktk ulimbukeni uleuleDah! Jamaa anasubiri yajae!?@@@
Wivu tu huna lolotehuyu mdada ana ujasiri mkubwa sana, mbasha itabidi amuogope kuliko wanadamu wote, alikuwa na uwezo kumfanya chochote hata kumtoa roho. hivi kweli mtu aliyekuwa ameolewa kwa ndoa na shamrashamra zile anaweza kufanya kitu kama hiki mbele za watu tena hapa hapa tz? wangekuwa wazungu tungesema hao wameranduka, lakini mjukuu wa askofu huyu? dah?