Waliowahi kufukuzwa CHADEMA

safi sana chadema hata mkipewa nchi hata waziri mkuu akifanya uzembe ni kupiga chini tu!
 
Sasa Chadema safi bila Virusi, Katiba Mpya yenye Tume huru yaja sasa hatutaki Visingizio kwenye Matokeo ya Serikal za Mitaa2014 na Uchaguzi Mkuu 2015.
 
Kwani hivyo vyeo tangu amepata aliwahi kuvitumikia?

Alikuwa anavitumia kwa kupeleka siri za CDM kwa CCM.Kwa sasa wamekata huo Mzizi ndio maana CCM inahaha kumnusuru lakini wameshachelewa.
 
hakuna mtu anaitwa chama wangwe. Pia hao madiwani uliowataja wa mara kuna usuluhishi ulipita kati kwa viongozi wa makao makuu na uongozi wa wilaya wakasamehewa na nimadiwani mpaka sasa katika manispaa ya mji wa musoma kama sio hao basi huenda ni mara nyingineeeeee
 
ZZK alishawahi kukaa kwenye ofisi ya Naibu katibu mkuu?
 

umechemkaje?? unatetea nini?? hauni unajidhalilisha?? wote hao wana makosa?? p.u...u ww
 
Mkuu baada ya kuthibitisha
kwamba wanaofukuzwa wanatoka kanda zote, morogoro, Mbeya, Mara, singida,
Iringa, Kilimanjaro, kigoma, unataka wa kanda gani tena mkuu..hapo
udini umefeli sasa unaleta ukanda!

Tume ya katiba imejaa waislaam tu-EDWIN MTEI
 
Ili mwanachama wa Chadema afukuzwe chamani, huwa anakuwa kakiuka mambo yapi yasiyoonyeka?

kwani utapotiwa hatiani na mahakama huwa umetenda mambo gani?Utatenda dhambi si utahukumiwa kwa hiyo dhambi?kosa lolote unalotenda ambalo linahatarisha uhai wa chama chchote kile ni lazina upewe adhabu.Adhabu inweza kuwa kufukuzwa chama,karipio kali au kama ulikuwa unashikiria madaraka basi utavuliwa hayo madaraka
 
Kila Shari na heri yake,mtuache Sie tutumikia Taifa letu kupitia Chama cha siasa sio saccos .
 
Kila Shari na heri yake,mtuache Sie tutumikia Taifa letu kupitia Chama cha siasa sio saccos .


ahahahahahaaaaa! CCM=Chama Cha Mafisi ndo mnakiona cha kutumikia taifa.

ningewaona wa maana kama ngeanzisha chama chenu, lakini kwa kurudi CCM mi nawaona WAKUDA tu.
 
na hii ndo uthibitisho wa demokrasia na uhuru wa kutofautiana mawazo?


sasa tofauti yake na wacommunist wa China iko wapi?

Uhuru wa kutoa maoni na kutofautiana mawazo bila nidhamu ni uhuni.
Watakaoiua CHADEMA ni CC ya Chama kama itashindwa kumvua uanachama MM
 
Commander uko vizuri kwa records, wengi tuliishasahau au hatuna kabisa records, hilo ni darasa tosha, watz waliishaanza kuchomokea kama kawaida yao, eti ni udini ndio umemuletea shida brother Zito, kumbe si kweli, mambo yako hadharani, M4C songa mbele.
 

Huo ni mzimu wa Chacha Wangwe wewe endelea kutoa ushauri kwenye sikio lakufa!
 

Tabaka lile hawafukuzani (Mtei affiliates), why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…