ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Acha kumdanganya mwenzio,wabongo kila kitu ushirikinaUmechafuliwa nyota yako mkuu. Kwa ufupi una kimavi. Unaweza kusafisha kea njia moja kati ya mbili;
1. Kwenda kwa mganga mwenye uwezo mkubwa
2. Kuongoka na kumkubali Yesu Kristo kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yako( njia hii ni nzuri na ni ya uhakika zaidi).
Isiache kazi kama huna kazi wewe fanya kazi haswa kama punda hayo mengine waachie wennyewe..Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.
Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.
Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.
Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.
Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.
Msaada ndugu zangu.
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.
Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.
Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.
Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.
Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.
Msaada ndugu zangu.
Labda Kama u mnoko na unawabaniaKama kuna maslai, ni vigumu kupendwa na kila mtu
Kutokufanya maamuzi ni kosa kuliko kufanya maamuzi yenye makosa kwa sababu utajifunza. Umetambua wanakusema kwanini usimtafute mmoja wao akueleze shida ni nini.Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.
Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.
Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.
Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.
Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.
Msaada ndugu zangu.
Ndo sijui shida nn maana maneno wanampelekea boss directKuwa Ke sio sababu.
Swali langu ni moja tu, kwanini wanakusema vibaya? Utakimbia maneno ya watu mpaka lini
Najitahid kufanya kazi vizuri lakini ikitokea nimefanya kosa boss anakua mkali anasema alijua nasingiziwa kumbe ni kweli mimi mbayaPole sana, Bocy Muhindi ni mwepesi kupokea Majungu sana, bila hata kutafuta ukweli.
Kama inakulipa sana sana, vumilia kwa malengo, ila Kama inakuzalilisha utu wako, achana nayo.
Majungu na fitina vinamalizwa na ukimya, kuchapa kazi zako vizuri na utulivu, na kutokuwa na makundi.
Kama lalamiko lako ni majungu tu na kuchongewa kwa bosy, hakuna uzalilishaji, be strong, stay, boresha character zako.
Wewe mwenyewe, maana unajua una saving kiasi gani, utaishije baada ya kazi, na mambo mengine unajua zaidi.
Usitafute ujasiri wa kuacha kazi toka kwa watu, waulize tu wa kushauri, ila ujasiri wa kuacha kazi hakikisha ni wakwako, na umeshawishika upo tayari ku face challenges.
Hapana sina tabia mbaya ila wafanyakazi wenzangu hawakutaka niajiriweMimi nahisi ana tabia ambazo sio nzuri na hapendi kubadilika,mtu hawezi kuacha kazi kisa kusemwa vibaya,never!
Ningekua sina nyota nisingepata hii kazi maana tulikua wengi nikapata mimiUmechafuliwa nyota yako mkuu. Kwa ufupi una kimavi. Unaweza kusafisha kea njia moja kati ya mbili;
1. Kwenda kwa mganga mwenye uwezo mkubwa
2. Kuongoka na kumkubali Yesu Kristo kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yako( njia hii ni nzuri na ni ya uhakika zaidi).
wafanyakazi wa kampuni za wahindi majungu ni lazima ndio desturi yao.Mimi ni ke
Kazi ya muhindi
Kabla nilikua nafanya kazi tours
Tatizo boss ananichukia sanawafanyakazi wa kampuni za wahindi majungu ni lazima ndio desturi yao.
Cha kukushauri mimi usiache kabla hujapata kazi nyingine mkononi.
Endelea kufanya nao huku unatafuta kazi sehemu zingine kimyakimya.
Kwenye kampuni za wahindi watu huwa wanakubalika na kupandishwa vyeo kwa kusambaza majungu tu na sio vigezo vya elimu.
Kwa hiyo usije ukajisikia vibaya au ukajiona una mkosi hiyo ni kawaida na wengi tulishapitia hayo.
Hapana ndugu usimjaji hivyo,kwenye sehemu za kazi kuna mambo mengi sana ndugu especially kwa wahindi watu wanaishi kwa kusambaza majungu ila vigezo hawana sasa akija mtu mgeni wanakuwa na hofu kwamba huenda nafasi zao zikawa hatarini sasa wanakupiga majungu ili uondoke wabaki kama zamani kwa kifupi makanjanja huwa hawataki kutokea mabadiliko ya aina yoyote hapo ndipo hujiona salama.Mimi nahisi ana tabia ambazo sio nzuri na hapendi kubadilika,mtu hawezi kuacha kazi kisa kusemwa vibaya,never!
Ukiona Boss anakuchukia maana yake amepelekewa maneno ya uongo ya majungu,dawa yake wewe fuata sheria tu katika kipindi chote utakachokuwa hapo hadi utakapopata kazi nyingine.Tatizo boss ananichukia sana