Waliovamia Shamba la Sumaye wapewa wiki 2 waondoke

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Wananchi waliovamia shamba la mh.Sumaye lililoko wilayani Kinondoni,wamepewa wiki 2 waondoke.

Mgogo huo umemkutanisha Sumaye, mkuu wa wilaya ya Kinondoni,bwana Paul Makonda na wananchi waliovamia shamba hilo.

Chanzo:Channel 10.
 
  • Thanks
Reactions: me1
Kama sumaye anamiliki kihalali basi wananchi wawe wapole ingawaje inauma sana jinsi wakubwa walivojhodhi maeneo makubwa
 
Utawala wa sheria uchukue mkondo wake. Kama kuna haja, serikali ndiyo ichukue na kuwagawia wananchi. Tukiendekeza watu kujitwalia kama walivyofanya shamba la Sumaye, mwisho wake utakuwa mbaya.
Kuna hatua Lukuvi ameanza kuchukua na ndiyo njia sahihi.
 
Back
Top Bottom