Waliotorosha Twiga kwenda Uarabuni watinga mahakamani

Tanzania aka Tanganyika ni offshoot ya serikali za Uarabuni!
Kama waarabu(Saud) watatoa tende zawadi kila mwaka kwa ajilii ya mfungo wa Idd kwa Defence Minister(Dr Mwinyi),
what do you expect in return?

Mbaya zaidi pesa za EPA ziko Dubai,watanzania wenzetu wamenunua majumba huko!What a shame
 
Kazi ya usalama wa taifa ni nini? kama watu wanaweza kusafirisha wanyama vipi madini na madawa ya kulevya....
kaka hatuna usalama wa taifa sikutegemea kusikia vitu kama hivi lakini hata huyo kijana mdogo sio yeye wle wahusika wako pembeni kabisa hao ni dagaa siamini kama kweli mtu aingie porini achukue wanyama kama twiga bila kuonekana kwa nini huu ni ukichaa na ujinga wakutudanganya nikuota unatembea au kama vile Mkulo anayoota maisha bora ndani ya bajeti yake sikweli hata kidogo nchi yetu inawatu wajinga sana tena wengi tu mtu akiiba kuu 5years mtu anaiba au kuingizia taifa hasara kubwa tu 2years . it is shem.
 
Kama watu wanaweza kuja na ndege, wakapakia twiga na wanyama wengine wazima .... (twiga huwezi kumpitisha kwenye brief case), IGP Mwema, Mkuu wa polisi mkoa wa Arusha, wakuu wa polisi wilaya walimopitishwa wanyama hawa, WAZIRI wa mambo ya nchi na Waziri wa ULINZI wajiuzuru kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao!
Usisahau Waziri wa mali asili.
 
Kazi ya usalama wa taifa ni nini? kama watu wanaweza kusafirisha wanyama vipi madini na madawa ya kulevya....

Kwa kweli kama tunata kuitendea nchni yetu haki na kuijenga kuwa nchni Imara na yenye kukumbukwa milele, hawa jamaa wa Usalama wa Taifa wanatakiwa kuunganishwa katika hii kesi! au la wafunguliwe kesi zao au kuchukuliwa hatua za kinidhamu inapotokea tukio kama hili.
 
Back
Top Bottom