Nimekuwa nikijiuliza hivi mtu ukiwa Banned ( Kufungiwa) Unajisikiaje, naomba wale wote waliwahi kupewa Ban na Mods watueleze Experince zao hii inaweza kuwasaidia memba wengine wasichezee Sharia za JF, vile feel free to tell us if you wish siku moja na wewe ule Ban
Kwa kuanzia natamani sana nile Ban ya Wiki moja hivi ila naogopa
Karibuni