Waliotarajia CCM itafarakana wameaibika

Waliotarajia CCM itafarakana wameaibika

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,857
Reaction score
31,436
Kuna watu walichochea mgogoro ndani ya CCM wakitegemea mpasuko mkubwa.
Mwenyekiti na vyombo vyake wamefanikiwa kuivusha CCM Kwa mara nyingine tena.
CCM ni moja na inapambana na wapinzani
 
Kuna watu walichochea mgogoro ndani ya CCM wakitegemea mpasuko mkubwa.
Mwenyekiti na vyombo vyake wamefanikiwa kuivusha CCM Kwa mara nyingine tena.
CCM ni moja na inapambana na wapinzani
CCM imekufa kama cha Siasa bado kufutwa... Ndio tunachopigania kwa sasa
 
Samia ameivusha CCM kwenda wapi mjinga wao??

Unavushaje kitu ambacho hakipo?

Sema kajivusha
20251024_065348.jpg
20251023_033515.jpg
 
Back
Top Bottom