Waliotaka kumteka Mshabaha Kenya wafikishwa Mahakamani wanyimwa dhamana

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,144
Reaction score
56,411
Dereva wa Kenya Nelson Wanjohi Kirika, mkazi wa Kenya nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai, na Aziz Hama, raia wa Tanzania (kutoka kushoto kwenda kulia) wamefikishwa rasmi mahakamani leo asubuhi wakikabiliwa na shtaka la kumteka nyara Mtanzania Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia majeraha makubwa ya mwili katika Kaunti ya Machakos.

Watuhumiwa hao watatu wamekana mashtaka yote dhidi yao. Wanaendelea kushikiliwa mahabusu. Maombi ya dhamana pamoja na kutajwa kwa kesi hiyo yamepangwa kufanyika tarehe 9 Machi.

--
Pia soma > Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

Taarifa kutoka Amnesty Kenya

Kenyan driver Nelson Wanjohi Kirika, Kenyan resident in South Africa Edward Mwangi Mwai, and Aziz Hama, a Tanzanian national (left to right) were formally charged this morning with abducting Tanzanian Mshabaha Mshabaha Hamza and subjecting him to grievous bodily harm in Machakos County. The three pleaded not guilty. They remain in custody. Bail application and case will be mentioned on 9 March. Kenya must never be a corridor for transnational repression.

IMG_20260306_153246.jpg
HCuXUluWQAAjpSu.jpeg

Mtanzania -Mzanzibari? 👇👇
Aziz Hama ni Mpemba wa Zanzibar lakin makazi yake ni Moshi mjini- Kilimanjaro

Hapo awali Aziz Hama alikuwa ofisa wa Jeshi la Polisi Tanzania
@tanpol lakin alifutwa kazi kwasababu ya utovu wa nidhamu ikiwemo kujihusisha na matukio ya UJAMBAZI.
IMG_20260306_162149.jpg
 
WATEKAJI wa MSHABAHA leo wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya.

Wamesomewa mashitaka ya UTEKAJI kwa LENGO LA KUDHURU.

Wamerudishwa RUMANDE hadi Jumatatu ambapo kesi itaitwa tena kusikiliza OMBI la KUZUIA DHAMANA (hususan kwa Mtanzania)
Hawajawaphila kweli?mbona nimeona mmoja anatembea upande upande?
 
WATEKAJI wa MSHABAHA leo wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya.

Wamesomewa mashitaka ya UTEKAJI kwa LENGO LA KUDHURU.

Wamerudishwa RUMANDE hadi Jumatatu ambapo kesi itaitwa tena kusikiliza OMBI la KUZUIA DHAMANA (hususan kwa Mtanzania)

View attachment 3553600View attachment 3553599
Faki them all. Wawaite principals wao (mazafakas Mombo na Mafwele) wawatetee!
 
Inasemekana walienda Kenya kuteka mwanaharakati. Leo wamepandishwa mahakamani.
Screenshot_20260306-155937.jpg
 
Aibu sana , Ilikuwaje wakashtukiwa jamaa walimuwekea cheap Nini !?

So do you think serikali itasema Nini hapo. ?? Lazima wakaushe tu kama hakuna kilicho tokea na katika medani za ujasusi hao waliokamatwa wana hesabika kama wazembe so lazima watolewe kafara tu ,

Hata wakirudi wanaweza kupigwa Bomba kupoteza ushahidi
 
Mmoja wa watuhumiwa wa utekaji huko nchini Kenya ana asili kama Mzanzibari au Mwaraba kama sio Msomali kulingana na picha zao na sio mtanganyika kwa asili

Je, wenzangu mnahisi huyo mtu asili yake ni wapi kwa kumtazama.

Najaribu kuweka picha zao hapa.
 
Pichani ni Mtanzania anaitwa Aziz Hama Mpemba ni miongoni mwa watu watatu ambao leo wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya kwa tuhuma za kufanya jaribio la kumteka
lifeofmshaba
HCvKounWYAAeu5x.jpeg

Huyu Aziz Hama ni Mpemba wa Zanzibar lakin makazi yake ni Moshi mjini- Kilimanjaro

Hapo awali Aziz Hama alikuwa ofisa wa Jeshi la Polisi Tanzania
@tanpol
lakin alifutwa kazi kwasababu ya utovu wa nidhamu ikiwemo kujihusisha na matukio ya UJAMBAZI.

Baada ya kufutwa kazi kwasasa yupo kwenye kikosi cha Faustine Mafwele na Abdul wanamtumia kuteka na kupoteza Wanaharakati na Wanachama wa Chadema ambao wanakosoa Serikali ya Idd Amin Mama.
 
Ujinga ujinga tu, mwisho huo hapo maisha yako yanaishia jela, unaacha familia hivi hivi.
 
Dereva wa Kenya Nelson Wanjohi Kirika, mkazi wa Kenya nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai, na Aziz Hama, raia wa Tanzania (kutoka kushoto kwenda kulia) wamefikishwa rasmi mahakamani leo asubuhi wakikabiliwa na shtaka la kumteka nyara Mtanzania Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia majeraha makubwa ya mwili katika Kaunti ya Machakos.

Watuhumiwa hao watatu wamekana mashtaka yote dhidi yao. Wanaendelea kushikiliwa mahabusu. Maombi ya dhamana pamoja na kutajwa kwa kesi hiyo yamepangwa kufanyika tarehe 9 Machi.

--
Pia soma > Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

Taarifa kutoka Amnesty Kenya

Kenyan driver Nelson Wanjohi Kirika, Kenyan resident in South Africa Edward Mwangi Mwai, and Aziz Hama, a Tanzanian national (left to right) were formally charged this morning with abducting Tanzanian Mshabaha Mshabaha Hamza and subjecting him to grievous bodily harm in Machakos County. The three pleaded not guilty. They remain in custody. Bail application and case will be mentioned on 9 March. Kenya must never be a corridor for transnational repression.

View attachment 3553600View attachment 3553599

Mtanzania -Mzanzibari? 👇👇
Aziz Hama ni Mpemba wa Zanzibar lakin makazi yake ni Moshi mjini- Kilimanjaro

Hapo awali Aziz Hama alikuwa ofisa wa Jeshi la Polisi Tanzania
@tanpol lakin alifutwa kazi kwasababu ya utovu wa nidhamu ikiwemo kujihusisha na matukio ya UJAMBAZI.
View attachment 3553646
Hao mafala wote wawili Mimi hawanipeleki popote....na lazima mmoja nimuue! Sijisifu nashukuru Mungu nipo fit sana, na walivyo hata mtu mtata mkakamavu hawawezi kumchukua,ndiomaana huyo msabaha walimshindwa wathenge hao.
 
Back
Top Bottom