Kwenda kuvinjari MAKONDEKO,kunya SERENA,free pass kwenye msosi na kukumbana na wapishi akina mzee Sabato na Matogolo,mademu wa Songe sec.walikuwa halali yetu,n.k.Ila moshi wa Mutex ulitutesa!!!
Duh post imenikumbusha maisha yangu Musoma 1995 - 1998 enzi za Head Master anaitwa Saka akina Malalika Mzee wa "We mk....du nini" it was the best experience wakati tukitoroka usiku kufuatilia mademu wa Songe.
Tupo wengi wa enzi hizo. Pamoja na uliowataja nawakumbuka pia Muganda, Mathias, Begashe, Kituka, Gikondo. Pia kuna wanafunzi kama Ansbert Mgamba, Diocles Rutahindurwa na Simon Odunga