Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,653
Kwa wale waliosoma PCB tukutane hapa ,tukumbushane mawili matatu na changamoto tulizo kutana nazo pindi tunasoma
sawa mkuu watakuja tu ila huu uzi ulikuwa mahsusi kwa wale waliosoma pcbmi natafuta kazi ya kufundisha economics am priffesional ticha elimu yangu ni bachelor from Udsm
sawa lakin si wanaweza waka pitia pia hapa kiongozsawa mkuu watakuja tu ila huu uzi ulikuwa mahsusi kwa wale waliosoma pcb
Ndio mkuu watapita tu usijali kuhusu hilosawa lakin si wanaweza waka pitia pia hapa kiongoz
Usijali jisikie upo nyumbani PCB na CBG ni kama ndugu wanao share baba ila mama tu ndio tofauti (brother from another mother)Mcntenge japo mm CBG cjasoma hilo somo la kufel i mean Physics
Tenx broUsijali jisikie upo nyumbani PCB na CBG ni kama ndugu wanao share baba ila mama tu ndio tofauti (brother from another mother)
Mkuu huwezi kupata mwanafunzi kwa sababu kwanza hujuwi kuandikami natafuta kazi ya kufundisha economics am priffesional ticha elimu yangu ni bachelor from Udsm
mm nimekupa like ila cjatokea huko, ila ni kushow love tuTenx bro
All PCB and CBG from Ndanda high school plz like
Mechanics ilikuwa nomaa aisee , yaan dahMechanics ilikuwa issue!
Ha ha ha usjali bro 1 lovemm nimekupa like ila cjatokea huko, ila ni kushow love tu
tena ndo kipindi hicho unaingia form five bado ile harufu ya ordinal level haijakutoka vizuri , illikuwa ukifundishwa af hujapitia kama wiki tu hivi ukirudi tena kusoma unaona vitu vipya kabisa yaan dahMechanics ilikuwa issue!
pamoja kakaHa ha ha usjali bro 1 love