mmekutravella
Senior Member
- Apr 16, 2013
- 100
- 33
Hahahaaaa nmepamic sanaasasa hivi ni mwendo wa madishi hakuna foleni tena
Ww nakuona cube 19 na jambia wako hahaaaa ulizeze .Ww mshenzi kumbe unapumua?Kumbe chidi hupo humu.vip umekakura kawali ka-wandiba au ndo unaenda kununua thamaki kwa mama mchafuuu...!
Mugogo yupo kwao tukuyu. Ni mkuu wa shuleLyamungo chama tupo hapa,
Mimi nilimaliza pale o level 2004 kipindi hicho yuko bureta,shoo(ameshastaafu na kwa sasa ana bar yake inaitwa snake bite iko karibu na kcmc hospital), lyaruu(sasa anafundisha mawenzi sekondari).
Nawakumbuka mwl. Kanyindo,masawe,nyela,lyatuu,kitalawe,vaileth,temba,mugogo n.k
Hahaha...mama LordKumbe chidi hupo humu.vip umekakura kawali ka-wandiba au ndo unaenda kununua thamaki kwa mama mchafuuu...!
Duuuuu umemsahau maza wangu...alikuwa mtaalamu Wa hesabu...mkumbuke basiLyamungo chama tupo hapa,
Mimi nilimaliza pale o level 2004 kipindi hicho yuko bureta,shoo(ameshastaafu na kwa sasa ana bar yake inaitwa snake bite iko karibu na kcmc hospital), lyaruu(sasa anafundisha mawenzi sekondari).
Nawakumbuka mwl. Kanyindo,masawe,nyela,lyatuu,kitalawe,vaileth,temba,mugogo n.k
Noma sanaNakumbuka siku form five walivyokatwa mikia.