Waliosoma Iyunga Tech

Nilipita Iyunga mwezi uliopita, shule imekua tulivu sana na performance imepungua sana. Amri Abeid ndio ilikua chamber yangu siwezi isahau na wadau wote tuliokua nao mle thou mwanetu mmoja katangulia mbele za haki, alale pema. Mwakasege na Edwin nimepiga nao sana chupa kule road. Maisha yalikua ya kijeshi lakini niliipenda sana Iyunga
 
Mi nilianza 2001-2004(mtoto wa knife watch scorpion)
Vp ndudi,mshana wapo kweli?
Hivi stor ya uhakika hasa ya kuuliwa michael sikupya ilikuwaje?
 
Mi nilianza 2001-2004(mtoto wa knife watch scorpion)
Vp ndudi,mshana wapo kweli?
Hivi stor ya uhakika hasa ya kuuliwa michael sikupya ilikuwaje?

japo mimi sio wa muda sana mimi ni wa 2007 hadi 2010 mwishoni mwa form one yangu kisusange ndo alistaaf,ndudi alienda kusoma na mshana yupo siku izi japo mwakasege(kyege) ni mwalimu iwambi
 
nitayakumbuka sana maneno haya,lumba,viwese,kuvuna,madini,kiroad,kwa daz na kuna jamaa alikuwa anaitwa Magere 2008.Dah maisha matamu yale.
 
Nilipiga meta 2004-2007,nakunbuka tulicheza mechi uwanja wa meta 2005 kabla game haijaisha ikatokea fujo tuliwatoa nduki adi stand ya meta hospital.
 
poa kaka mimi nakumbuka biti la mkuu wa shule mng'ong'o tu levavi okloss we aim the higher
 
2001-2004,tulifika shule tupata stor za fujoo kila mmoja akisema lake,ilinitisha ila nikakomaa,kuvunwa karibu kila siku muhimu.
Na hivi chanzo hasa cha kuuliwa michael sikupya pekee ni nini??
 
japo mimi sio wa muda sana mimi ni wa 2007 hadi 2010 mwishoni mwa form one yangu kisusange ndo alistaaf,ndudi alienda kusoma na mshana yupo siku izi japo mwakasege(kyege) ni mwalimu iwambi

kyege karud iyunga
 
Nilipitapita iyunga katika safari yangu ya kuelekea muhimbili. Wazee wa state house asubuhi wakienda assemble mi niko darini. Kuna siku niliporomoka nalo!
 
Darini ulikuwa ndio mchezo wetu wazee wa kudoji asembo,wakuda wakiingia tu mabwenini tushazama darini,
Kengele ikilia tu ujue watu wanasepeshwa home daah balaa tupu,
Bila kusahau nilikuwa ndio balozi wa iyunga MTC nyali kama kawa lazima ifatwe usiku.
 
Nilipiga meta 2004-2007,nakunbuka tulicheza mechi uwanja wa meta 2005 kabla game haijaisha ikatokea fujo tuliwatoa nduki adi stand ya meta hospital.

Ndugu, laiti ungejua tulivyowafanyaga past wala usingethubutu kusema hivyo liliwashwa mustin letu tukajaza bakora tuliwachapa mpaka tukastopishwa kushiriki michezo
 
ha ha ha!!!kuna jamaa waliporomoka wakila deo pale ofic y raic walikua wanakaa volunteer wa mambo ya ukimwi!
 
Wale wa 2001 mpaka 2007 wako wapi hawa maabunomo? wengi wao walitia saba form 4, duh maisha yanaenda kasi sana......
Baraka Andrew
Harold Madeha
Ahazi mhiginongwa
Charles Simkonda
Gasper Clement
Sugwejo Kaboda
Florian Mkemwa
Emmanuel O Urassa
Godfrey Ndyeli
Frank Shega
Mzee Nankokonumbi
Samuel Deemai

Duh japo sikuwa jembe walinisolvia maswali sana hawa,
Wapi MKUDE 2000-2003? alinilinda kule Luthuli nisivunwe ila nilikuwa namuandikia notice lol,aliogopwa mtu huyu
Wapi Mbaga? wazee wa state house
Wapi Second master Masaki?
Wapi kisusange, aka KISU?head master
Wapi kibwengo?
Wapi karama fitina?
Hamimu Lubega?
Na vipi hii misemo?
lumba, empty,kuvusha,mpigo,kibwengo,kuvuna,nyali jtano ,negative aka nega,kata mikia tar 9 mwezi 9 saa 9 na dak 9.
Wapi mtanganyika?
Eh bwana nimekumbuka mbali sana
 
Darini ulikuwa ndio mchezo wetu wazee wa kudoji asembo,wakuda wakiingia tu mabwenini tushazama darini,
Kengele ikilia tu ujue watu wanasepeshwa home daah balaa tupu,
Bila kusahau nilikuwa ndio balozi wa iyunga MTC nyali kama kawa lazima ifatwe usiku.

Dah baghozed mzee wa electrical installation. Hivi kamanda Jeff yuko wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…