Waliosoma Iyunga Tech

baghozed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
532
Reaction score
97
Nimefkiria sana matukio ya shule niliyosoma kipindi kile nkaona bora nijaribu kukumbuka na wadau,na nijue hali ya hii shule ikoje.
Karibuni
 
Umemaliza miaka ipi ya kisu au Yule Mzee Waulize wale watoto wa Tambaza.jkt itende ile.Mimi Askari mtoa kwata.ila academics sasa hivi poor
 
Haujibu basi mtafute Mwaipopo au kisusange.inaonekana Mtoto wa standardization wewe.
 
Daah, mimi nilianza na Mwaipopo nikamaliza na Kisu. Jamaa alipunguza wengi sana kwa kufukuza wanafunzi kufuatia ule mgomo ulioambatana na vurugu kubwa ambazo sijawahi kukumbana nazo ktk maisha ya shule a boarding!
 
duh namkumbuka sana kisusange, mwakasege, na yule mwalimu aliyekuwa anapigwa na wanafunzi............................
 
Kyege, na mzee wa mchakamchaka
 
Hoya do nimekubali wewe mwe zangu,shule Kama jeshini,!!Mimi niliitwa na Mzee Mwaipopo akaniambia hawa vijana wa Tambaza wangalieni hii ni Iyunga.halafu nikamaliza wengi walirudi mjini,akabaki Dogo mmoja Nigga ingawa sio peke yake Dogo Mwisho nilionana nae alikuwa na TIB
 
Najutia kwa utesaji pamoja na dhambi zangu nilifaulu vizuri enzi hizo unaenda form una miaka 16 sasa vijana wanamiaka 11
 
Nilipgwa mikanda pale nyerere na mkwawa
 
enzi za kisu!!dah ucpime maziwa ya cattle boma ktk uji!!
 
wap mwl ndudi fimbo inaanzia juu ya ceiling board ikitua ni maumivu tu. mzee wa 4,4,2
 
Hahah ndudi akikukuta kilodi anakukariri sura vibaya halafu akikuona tu assemble umekwisha,japo sasa ivi kyege kawa mwalimu IWAMBI na mkuu pale ni ticha MNG'ONG'O na sheria sasa ivi ni strictly kweli wapo kwenye mpango wa kujengewa fensi... Dah nimemisi sana maisha ya pale japo kipindi mimi ndo nipo form one mwishoni mzee kisu ndo akawa anastaafu..
 
unanikumbusha sana kituo cha kusomea.............

Engineer Solomon Mwasota darasani haiingii na muda wote yupo kijijini Mbalizi lkn mitihani yote anapiga A!

Nimesoma na watu wengi lkn kijana huyu alikuwa ana uwezo wa ajabu darasani!

Mwaka 1992!Nani hapa alimaliza mwaka huu Iyung
 
Engineer Solomon Mwasota darasani haiingii na muda wote yupo kijijini Mbalizi lkn mitihani yote anapiga A!

Nimesoma na watu wengi lkn kijana huyu alikuwa ana uwezo wa ajabu darasani!

Mwaka 1992!Nani hapa alimaliza mwaka huu Iyung
duh apa mie 2003
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…