jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,199
- 42,925
hatari sana..mimi palinishinda mapema sana.Rollcalls mpaka siku za TownLeave halafu hata TownLeave mnatakiwa kuvaa Uniforms. Ihungo ni pagumu sana
hatari sana..mimi palinishinda mapema sana.Rollcalls mpaka siku za TownLeave halafu hata TownLeave mnatakiwa kuvaa Uniforms. Ihungo ni pagumu sana
Watoto wa mama walikua wanakimbia....Hahaaaa..kuna siku ilikua ya ukaguzi..wa RPMs kuna jamaa hakuatend sehemu yake husika..daah alikua stick balaaa tena za mianzi..tangu sikuile moyo wa ihungo ulipotea..
Na yalipotoka matokeo ya form six ndio kabisaa..niaanza machakato wakusepa..
Ile shule niiona kama jera ndogo..
Sent using Jamii Forums mobile app