nimezama ndani ya medula bado nikafukunyua kumbukizi mujarabu
-hm shasha (alihamia maruku) 'shasha wanangu inabidi tuvumiliane, hali ya chakula ni mbaya....'
-mwl mwijuki
-mwl tibaijuka (alipanda akawa DAS-ngara)
*alipenda kusema 'we katoto kajinga kajinga njoo hapa' ujiandae kuvutwa masikio. lkn mzuri sana kwenye civics na general studies
-mt gaucho: mtaalam sana kwenye history o.level na bombastic/vocabulary za kukata na mundu. mzee wa 'shockubsorber'. alikuwa akikuangalia kwa dharau kisha anajisemea, 'aaagh, toka mbele yangu. hata kwetu wapo' kwa sauti poole
-mrs tiba.. (jina limenitoka, alikuwa anakuja kazini na pick up nyeupe. staff nzima akiwa pekee mwenye gari kabla mr justinian banyenza mzee wa vocabulary za malkia zilizoenda kidato. alikuwa akitaja maneno km yafuatayo sisi wa fomu nyoya/darasa la 8 tunajiuliza hv tumekuja kusindikiza? tutatoboa kweli mbona tunasikia nyota nyota tu
##protocol, courtessy, mannerism, hurrigans, personality, punctuality, prosperity daaa alikuwa anamwaga ung'eng'e huyo. ngoja tu watoto wake tuipende klf tulimtamani