Waliosoma BUNGO Primary School mupo??

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
Wadau mliopitia Bungo primary school kwa Mwalimu Achimpota..kama mpo umu tukumbushiane enzi zile mie nimepitia pale mwishoni mwa miaka ya tisini..ilikuwa ndio the best primary school.
 
Kakumbushianeni izo enzi fb bhana,yaan ww mwishon mwa miaka ya 90 thn unaandka k2 kama hich......? Xaxa kama kila wa2 waksema wakumbushane enz humu....... grow up bhana,,,,,cyo kimwl na kiakili pia .....anyway achimpota yuko solomon mahlangu n mkuu pale tangu 2002 to present
 
Back
Top Bottom