Vumilieni labda wanakamikisha ripoti ya uhakiki ndio watoe vibali!...Ukiandamana aisaidii kurudishwa kazini,,watu walikua wanaomba tu official termination ya ile kazi kama wameona hawaitaji tena wafanyakazi ili waangaike vingine mana mwisho wa siku maisha lazma tu yaendelee kivyovyote vile,ila wanavyokua kimya wakat miez 6 imekatika wanakosea sana.
Inaonekana maghufuli haumjui vizuriJaman hz taarfa znasambaa kama upepo, imekuwa ajira zilizositshwa za Mahakama na afya et kuftwa kimya kimya,aliesema katibu mkuu utumishi umma, nahusika wasubr ajira Mpya na wataomba tena upya, chanzo jamii forum! Dogo ni muhanga leo ndo kaona hyo taarfa nahisi ametaka kufa na pressure! Jaman tunaoleta Uzi usokua na data kamili taarfa hz znasambaa sana nawahanga wanaumia zaid, humu jf kuna waandishi wa habar wanatoa humuhum bila kuwa na uhakika, jaman tunaumiza watu! KUNA HAJA YA SERIKALI KUTOA TAMKO JUU YA MAMBO KAMA HAYA YANAYOTOLEWA TAARIFA KWA UMMA KILA KUKICHA!
Inaonekana maghufuli haumjui vizuri
And the "simple" was right...
na nyie mta sign upya mkataba utasoma 1 Dec tuna fanya mambo kwa awamu na utaratibu ili tusiruhusu wafanya kazi hewaKiukwl haielewek, na waliorudishwa wanasign upya mikataba na inasoma wameajiriwa 1st Nov
Wakisign upya hyo mikataba wanawapa tena hela za kujikimu? Ina maana muda waliositishiwa AJIRA zao ni sawa na kwamba walikua wamefukuzwa?
je wasiokuwa na check no ndio awajarudishwa mikataba yao itasoma lini nov au DecMikataba yote unaanza Nov.1 hata mliokuwa na mikataba, waliorudshwa kazn mwez huu tayar wanefanya hivyo na wamesaini huo mkataba, mlobaki kurudishwa mtaenda kujaza mkataba unaoanza Nov.1