Waliositishiwa ajira zao mwezi May/Jun 2016

Jaman hz taarfa znasambaa kama upepo, imekuwa ajira zilizositshwa za Mahakama na afya et kuftwa kimya kimya,aliesema katibu mkuu utumishi umma, nahusika wasubr ajira Mpya na wataomba tena upya, chanzo jamii forum! Dogo ni muhanga leo ndo kaona hyo taarfa nahisi ametaka kufa na pressure! Jaman tunaoleta Uzi usokua na data kamili taarfa hz znasambaa sana nawahanga wanaumia zaid, humu jf kuna waandishi wa habar wanatoa humuhum bila kuwa na uhakika, jaman tunaumiza watu! KUNA HAJA YA SERIKALI KUTOA TAMKO JUU YA MAMBO KAMA HAYA YANAYOTOLEWA TAARIFA KWA UMMA KILA KUKICHA!
Sasa hao unaofikiria kuwa wanaweza kutoa taarifa sahihi kuhusu huu mkanganyiko ndo wamezidiwa na ukata na kufilisika hata hawataki kujitokeza kutoa ufafanuzi,wacha tupuyange hivyo hivyo kila mtu na lwake,mwenye kuumia ngoja aumie,hiyo ndo maana ya kuisoma namba.
Nafikiri mtu akiumia vilivyo,2020 itamkuta ametia akili.
 
Jaman hz taarfa znasambaa kama upepo, imekuwa ajira zilizositshwa za Mahakama na afya et kuftwa kimya kimya,aliesema katibu mkuu utumishi umma, nahusika wasubr ajira Mpya na wataomba tena upya, chanzo jamii forum! Dogo ni muhanga leo ndo kaona hyo taarfa nahisi ametaka kufa na pressure! Jaman tunaoleta Uzi usokua na data kamili taarfa hz znasambaa sana nawahanga wanaumia zaid, humu jf kuna waandishi wa habar wanatoa humuhum bila kuwa na uhakika, jaman tunaumiza watu! KUNA HAJA YA SERIKALI KUTOA TAMKO JUU YA MAMBO KAMA HAYA YANAYOTOLEWA TAARIFA KWA UMMA KILA KUKICHA!
habari za uongo ata mtatiro amepost n habari za kupuuzwa
 
Hko kuitwa kwao hata hakuelewek kukoje, wapi wameitwa? Mahakama na afya kimya wapo tu wanaisoma namba, mwezi wa 6 sasa mtaan! Ni shda!
 
Jambo hili litatufanya tuone kama ubinadamu upo au la.

Tuupe muda nafasi ili wakati wake ukifika useme wenyewe.
 
Ila bora kusubr kitu huku unajua muda wake ili MTU abalance hata ugumu alionao, mfano vjana wa jkt wanajua tar 01 Dec wanaripot hvo wanaish kwa kujua kabsa hatma yao kuliko hawa wahanga walositishiwa ajira zao mwez 6 sasa mpaka sasa lakn bado hawajui nn hatma yao, je waish kwa kuamini nn? Nani? Wakiwa wanafanyaje? Hvi wangeambiwa zoez ni miez 6 si wangekua wanafanya mambo mengne? Sahv kila siku wanawaza labda kesho tutaitwa, unategemea watafanya lipi la msingi?
 
Ndo nchi yetu.
 
Jambo hili litatufanya tuone kama ubinadamu upo au la.

Tuupe muda nafasi ili wakati wake ukifika useme wenyewe.

Hakna anaeiharakisha serikali itoe ajira, Bali hawana ubinadam kwa kutokutoa taarifa ni lini wanatoa hizo ajira hasa kwa watu iliyowasitishia ajira zao toka June! Kwa nn istoe hatma yao hata kama sio hivi karbuni kuwardsha kazin? Hawataishi kwa presha ya kila siku kuuliza hata kama ni mwakani!
 
Tunachotaka ni taarifa. Basi (only that).
 
Anaesema watu wamerudishwa kazn anapotosha umma, madogo wapo tu hakna taarfa wala simu ya kujua hatma yao, wanaishi kama mashetan tu, hawana hata mia, miez 6 wapo tu mtaan, waktaka ktafta kazi private wanasita tena kuwa wanaweza itwa kazn, hvi serikali haiwez kutoa taarfa za kueleweka ili kuokoa wahanga hawa? SIO LAZMA KUWARUDISHA KAZN ILA KUWAWEKA WAZI ILI WAFANYE MAMBO MENGINE SIO KILA SIKU KUSIKILIZA TAMKO, WAHUSIKA MTOE TAARIFA JUU YAO SIO KUKAA KIMYA NA KUKANUSHA TAARIFA ZITOLEWAZO NA WATU! TOO MUCH IS HARMFUL WATU WANAWACHOKA NA POLOJO ZENU.
 
Ila wanguwaweka wazi ungekua uhungwana sana hata kupitia vyombo vya habari,wahusika ingewauma ila week moj tu wangesahau kuliko hivi unaenda mwez wa 7 watu kimya.
 
Walimu tangu walomaliza 2015 hawajaajiriwa na now tunafunga mwaka kuingia 2017 kazi kweli kweli ila all in all ukweli ni mzur sana hata kama unaouma kuliko hivi.
 
Walimu wa 2015 wao njia ipo waz kuelekea 2017! Alietoa Uzi wa ajira Mpya Feb 2017 wakakanusha nahisi yupo sahihi! TAARFA TU KWAO INATOSHA, Kuliko adhabu muliyowapa ya kuish kama MASHETANI, kujiajiri wanaweza hasa wangeambiw ukwel kuliko SIASA kila kukicha, hasa waliositishiwa AJIRA zao!
 
Hakna anaeiharakisha serikali itoe ajira, Bali hawana ubinadam kwa kutokutoa taarifa ni lini wanatoa hizo ajira hasa kwa watu iliyowasitishia ajira zao toka June! Kwa nn istoe hatma yao hata kama sio hivi karbuni kuwardsha kazin? Hawataishi kwa presha ya kila siku kuuliza hata kama ni mwakani!
Matumbo yao yamejaa minoti na wanasahau kwamba kura za watanzania ndio zimewafikisha hapo walipo.

2020 loading...
 
Kumbe D. Trump alikuwa sahihi aliposema waafrika tunahitaji kutawaliwa upya!! Tuna kila aina ya utajiri lakini tunaishi kimasikini. "Not yet Uhuru"
 
Watu waliacha kazi zao,wakajua wameajiriwa wamefanya kazi mwez mzma tena bila kulipwa unawasitishia ajira alafu hutoi taarifa yoyote zaid bora ungewaambiwa wamefukuzwa rasm wajue moja wanatesa sana wananchi.
 
Back
Top Bottom