Waliositishiwa ajira zao mwezi May/Jun 2016

Waliositishiwa ajira zao mwezi May/Jun 2016

Wa halmashaur washarudishwa kazini,bado mahakama na afya.
 
Serkal haina hela ndo maana haiajir! Imefkia muda imechukua na hela za wahanga wa tetemeko hapo kuna jipya kwel? Mahakama na afya watardshwa bajet ijayo,chanzo ni wenye kauli!
 
"ajira zilifunguliwa miezi miwili baada ya kufungwa"
By rahisi
 
"ajira zilifunguliwa miezi miwili baada ya kufungwa"
By rahisi

Hiyo ni siasa, zmefunguliwa umeziona wap? Siasa ni mchezo MCHAFU sana,kaa mbali na siasa hasa hii ya bongo, bdo watu wanaisoma namba ya ccm kwanza!
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Majanga,kwa hyo waliokuwa hawajapewa I'd wanaendelea kuisoma namba kama wa Mahakama na afya?
 
Halmashauri sio wote kiongozi. Ni wale tu waliokuwa na cheki namba

Walokuwa na check namba ndo walorudshwa,je wamewalipa stahk zao kwa muda waliowasimamisha? Au wameanzia hapo hapo cku wameitwa?
 
Kulipwa kipind mpo nyumbani sio rahis kwa serikal yetu yan hapo ombeeni tu hata wawarudishe kazin tu ndo cha muhim zaid na kuanza upya ila kulipwa siyo rahisi.
 
Walokuwa na check namba ndo walorudshwa,je wamewalipa stahk zao kwa muda waliowasimamisha? Au wameanzia hapo hapo cku wameitwa?
Walorudisha kwa halmashaur j3 ya leo ndo wameripot vituon so mpaka kesho ndo tutaanza kujua km kuna chochote watapewa km wameambia hivyo after kurud vituon.
 
Jaman hz taarfa znasambaa kama upepo, imekuwa ajira zilizositshwa za Mahakama na afya et kuftwa kimya kimya,aliesema katibu mkuu utumishi umma, nahusika wasubr ajira Mpya na wataomba tena upya, chanzo jamii forum! Dogo ni muhanga leo ndo kaona hyo taarfa nahisi ametaka kufa na pressure! Jaman tunaoleta Uzi usokua na data kamili taarfa hz znasambaa sana nawahanga wanaumia zaid, humu jf kuna waandishi wa habar wanatoa humuhum bila kuwa na uhakika, jaman tunaumiza watu! KUNA HAJA YA SERIKALI KUTOA TAMKO JUU YA MAMBO KAMA HAYA YANAYOTOLEWA TAARIFA KWA UMMA KILA KUKICHA!
 
Back
Top Bottom