Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,146
Ni jambo gani limefanyika linaharibu maisha ya watu?Mkuu likiwa jambo lenye mafanikio hilo ni la ccm, ila hili la kuharibu maisha ya watu ndio mnasema sio la ccm!!?
Ni jambo gani limefanyika linaharibu maisha ya watu?Mkuu likiwa jambo lenye mafanikio hilo ni la ccm, ila hili la kuharibu maisha ya watu ndio mnasema sio la ccm!!?
Ni jambo gani limefanyika linaharibu maisha ya watu?
Ccm itoke madarakani kiingie chama gani?Ndy inayo ongoza serikali na kama chama kuna katiba ambyo lazima ifuate na mukulu ndy mweyekiti wa chama lazma ifuate. Fisiemu isipotoka madarakani mambo unayo yaona sasa yataendelea kama kawaida.
Si bora yeye ana uhakika kuliko wasio na kazi kabisa.Dadaangu ni muhanga mpaka anatia huruma kila siku anapiga mizinga tu amegeuka omba omba
Mahakama haihusiki kwenye hili.Sheria ipi kama sio amri ya mahakama warudishwe kazini
Huu ni mchakato mkuu, system yeyote lazima ifanye hii michakato, ni sawa na kufanya usafi wa jengo/nyumbaKuwatuhumu watu wana vyeti fake, kisha wanashinda kesi lakini hawarudishwi kazini.
Huu ni mchakato mkuu, system yeyote lazima ifanye hii michakato, ni sawa na kufanya usafi wa jengo/nyumba
Je unajua mahakama ni chombo kinacho jitegemea..?
Sisi tulishasema; hii serikali ni ya kisanii. Maneno ni mengi kuliko vitendo. Halafu wanafurahi sana wanapowaona raia wakipata taabu kuliko kuwaona wakiwa na ustawi mzuri. Ni serikali ya visasi tu. Mara wakang'oe mchicha shambani kwa Mbowe, mara wakatae kuongeza mishahara ya watumishi, yaani almuradi waone wananchi wakitaabika.
Haijahusika kwenye rufaa vya vyeti.Je unajua mahakama ni chombo kinacho jitegemea..?