Waliosema Lowassa yuko hoi kitandani...

Waliosema Lowassa yuko hoi kitandani...

Jamani winter siimeisha, mbona mama yetu ameva nguo nzito hivyo?

img-20190511-wa0031-jpg.1094859
Mkuu ikitoka Winter inaingia Spring halafu ndio inaingia Summer. Spring ya Switzerland baridi ni kali kuliko Winter ya Arusha!
 
Mbona unamtetea kuwa ni mzima lakini la kutotoa hata salam kwa Dr Mengi haumsemei?
Kw busara alipaswa atoe neno hata twiter tu.
 
Watakufa wengine watamwacha hivyo hvyo maana hakuna kiongozi aliyetabiriwa kufa na kukashifiwa kama huyu. Akina kibajaji na msukkuma bado aibu zinawaandama na midomo yao michafu na sasa kaamua kurudi kwenye chama chao wafungue tena midomo yao michafu dhidi yake
 
Naona yuko fit, ila age inakimbia sana, ajitajidi kupambana sana na afya yake, siasa sasa hivi atulie kabisa..!!
 
Napenda huyu mama anavyomtunza mumewe. Wababa mjifunze hapa. Mke wa ujanani atakufaa mpaka uzee wako. Nahisi kwenye kuumwa kwake huyu mzee ukimuuliza siri yake kubwa ya kudunda mpaka leo ni mkewe.
 
Uliwahi kuona picha za Fidel Castro alivyokuwa ‘anadunda ‘ kuonesha kuwa yupo fiti baada ya tetesi kusema kuwa alikuwa Taaban?

Propaganda za Kijamaa tofauti na za kibepari ni kuwa Wajamaa hudhan wanaolishwa propaganda akili zao haziwezi kufanya tathmini

Hata Baba wa Taifa tuliambiwa ‘He is recovering so fast’ lakin hapo hapo Uwanja wa Taifa ukawa unakarabatiwa kwa kasi ya Ajabu na tukamuona Simba wa vita wa vita karudi mnyonge anaulizwa anaendeleaje anasema yuko vizuri huku anafuta Machozi

hahahahahhaha hiyo paragraph ya pili hatari sana..
 
Back
Top Bottom