encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 517
- 405
Poa poa mkuu!Tutakuja ngoja tushughulikie kwanza hizi habari za selection.
Asante sana kwa mchango wako mzuri!Pumbavu kabisa... kichwa hakiendani na content yenyewe
Wadau wa elimu kama kichwa kinavyojieleza!
Naomba tupeane updates na tetesi zozote zinazohusiana na kinachoendelea kunako bodi ya mikopo kuhusu utoaji wa mikopo 2017/18.
Karibuni!
Futa kichwa cha habari apo juu haraka iwezekanavyo..unawapa watu pressure..mbavuu sana. ...Wadau wa elimu kama kichwa kinavyojieleza!
Naomba tupeane updates na tetesi zozote zinazohusiana na kinachoendelea kunako bodi ya mikopo kuhusu utoaji wa mikopo 2017/18.
Karibuni!
Wee pimbii kweliiWadau wa elimu kama kichwa kinavyojieleza!
Naomba tupeane updates na tetesi zozote zinazohusiana na kinachoendelea kunako bodi ya mikopo kuhusu utoaji wa mikopo 2017/18.
Karibuni!
Niandikeje?Futa kichwa cha habari apo juu haraka iwezekanavyo..unawapa watu pressure..mbavuu sana. ...
Una upeo mkubwa sana wa kufikiri sijawah onaWee pimbii kwelii
mfano S3034.0076.1997Hivi kwenye index no unaweka mkwaju, dot au dash. .
. Maana hawaja toa maelekezo how do ..
I mean naomba kama kuna mtu anajua namna ya kuiandika hiyo namba anisaidie
umeamini?Futa kichwa cha habari apo juu haraka iwezekanavyo..unawapa watu pressure..mbavuu sana. ...