waliopangiwa makambi jkt tukutane hapa.

waliopangiwa makambi jkt tukutane hapa.

habar wadau, naomba kwa wale waleopangiwa makambi jkt tuambiane hapa
Halafu mkishaambiana hapa??

Unadhani mnaenda shule ya boarding ili muambiane kubeba blueband na tea masala?

Ngoja ufike huko utaelewa tu
 
Mtoa post inabidi jeshi utaliweza kweli? Kambi tu unataka mjitangaze... Hayo mengine sijui itakuaje...
 
mkishakutana hapa anzisheni group la whatsApp ...baadae muanze kujadili soka na siasa😳😳😳
 
Back
Top Bottom