Simba wa teranga
Member
- Aug 5, 2017
- 37
- 23
Naomba mwenye link ya majina ya walopangiwa form one katika wilaya ya bumbuli mkoani tanga anisaidie
Naomba mwenye link ya majina ya walopangiwa form one katika wilaya ya bumbuli mkoani tanga anisaidie
Ndo wametoa mkuu toka juziWametoa selection mkuu?
Kutangazwa na kutowa ni vitu viwili tofauti.Ndo wametoa mkuu toka juzi
Ndo wametoa mkuu toka juzi
umeyaona website gani?Ya dar siyaoni sijui hawajaupload,naona ya mikoa mingine tu
Zipo website nyingi nyingi ingia goggle search "form one selection 2019"umeyaona website gani?
vipi umeyaona ya mwanza?Zipo website nyingi nyingi ingia goggle search "form one selection 2019"
Nayatak ya mwanza piavipi umeyaona ya mwanza?