Walioomba kazi PSPF majina yametoka

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
257
leo wametoa majina ya walioitwa knye interview post za operation (wako 1400...) na drivers knye daily news ya leo

nawatakia kila la kheri na maandalizi mema
 
Chibidu

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
387
46
leo wametoa majina ya walioitwa knye interview post za operation (wako 1400...) na drivers knye daily news ya leo

nawatakia kila la kheri na maandalizi mema

Hivi hawa jamaa wa PSPF wanataka kuajili operation officers wangapi? nitawashangaa sana kama wanataka kuajili watu chini ya 100 harafu wawaite kwenye interview watu 1400+
Kila la kheri kwa walioitwa kwenye usaili huo. Madesa mnaruhusiwa kwenda nayo
 
harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,889
1,344
Walioomba kazi PSPF MAJINA HAYA HAPA wanaitwa kwenye interview chuo kikuu cha DSM
CHEKI WEB YA PSPF
 
JB

Member
Jul 28, 2009
12
0
This is crazzzzzzzzzzzzzy; cant they filter the list and come out with a reasonable of prospective candidates??????. Think of how much will be spend on that exercise leave alone travel costs for individuals from upcountry....

We need to be economic Tanzanians
 
MKOBA2011

Senior Member
Jul 12, 2011
142
26
Na kama hawaitaji watu wengi watakuwa na matatizo ya kifikra wanatakiwa kujua some are coming far east
 
Odiembo

New Member
Aug 22, 2011
1
0
Inasikitisha sana kuita watu 1400+ kwa nafasi 8 tu.
Nina uzoefu wa kufanya interviews na hizi taasisi za serikali, kwa kumbukumbu niliyonayo Mwaka huu TIRA (Mamlaka ya bima) waliita watu 117 kwa nafasi 3, NSSF waliita watu 234 kwa nafasi 4. Ukweli ni kwamba waliokuwa na memo ndio walioitwa kwenye usahili wa pili, Lakini nao pia memo zao zilizidiana nguvu wenye vimemo dhaifu nao wakatemwa.

Nimeitwa lakini sitakwenda ULE NI UZUSHI MTUPU.
Ila ndugu zangu wengine naomba tarehe 07.10.2011 mhudhurie pale DUCE mjionee, Msiache kwenda.

Wadau wa taasisi hizi NSSF, TIRA, PPF, NHIF, PSPF, GEPF, TPA, LAPF badilikeni.
 
NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
362
136

Kutakuwa na nin pale jaman?
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,232
4,042
Hongereni PSPF..hapo mmeonyesha kweli ajira ni fair game!
Kama wote wana qualifications zilizosawa..solution ni kuita wote, wafanye written interview..hapo mtatambua vichwa vya maana na wale wenye GPA za kubebwa!
Cost is not an issue when it comes kwenye opportuinity ya kufanya in one of the best organization in thr Country
 
Nguchiro

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
364
31
huo nio upimbi kama si ubwege, hivi hawa jamaa hawana Human Resource Officer/manager?na kama yupo hajui kitu kinachoitwa SHORT LISTING unataka watu 10 unaita 10,000 what for?nahisi kuna mawili
1. haijui kazi yake
2. wanatafuta sababu ya kukaa katika interview panel mwezi mzima na kulipwa allowance nyingi, huo ni usenge, badilikeni au kwa kuwa hamuwalipi watakaokuja katika interview,mnaita mtu kutoka Ruvuma na Kigoma, hakuna ratiba ya interview dont tell me watu 1400 watakuwa assessed ndani ya siku moja! Pathetic fools
 
Kijuche

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
418
35
Inasikitisha sana kuita watu 1400+ kwa nafasi 8 tu.
Nina uzoefu wa kufanya interviews na hizi taasisi za serikali, kwa kumbukumbu niliyonayo Mwaka huu TIRA (Mamlaka ya bima) waliita watu 117 kwa nafasi 3, NSSF waliita watu 234 kwa nafasi 4. Ukweli ni kwamba waliokuwa na memo ndio walioitwa kwenye usahili wa pili, Lakini nao pia memo zao zilizidiana nguvu wenye vimemo dhaifu nao wakatemwa.

Nimeitwa lakini sitakwenda ULE NI UZUSHI MTUPU.
Ila ndugu zangu wengine naomba tarehe 07.10.2011 mhudhurie pale DUCE mjionee, Msiache kwenda.

Wadau wa taasisi hizi NSSF, TIRA, PPF, NHIF, PSPF, GEPF, TPA, LAPF badilikeni.

Ukisikia interview dume ndio hizo.
 
Baba Erick

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
483
74
Inasikitisha sana kuita watu 1400+ kwa nafasi 8 tu.
Nina uzoefu wa kufanya interviews na hizi taasisi za serikali, kwa kumbukumbu niliyonayo Mwaka huu TIRA (Mamlaka ya bima) waliita watu 117 kwa nafasi 3, NSSF waliita watu 234 kwa nafasi 4. Ukweli ni kwamba waliokuwa na memo ndio walioitwa kwenye usahili wa pili, Lakini nao pia memo zao zilizidiana nguvu wenye vimemo dhaifu nao wakatemwa.

Nimeitwa lakini sitakwenda ULE NI UZUSHI MTUPU.
Ila ndugu zangu wengine naomba tarehe 07.10.2011 mhudhurie pale DUCE mjionee, Msiache kwenda.

Wadau wa taasisi hizi NSSF, TIRA, PPF, NHIF, PSPF, GEPF, TPA, LAPF badilikeni.

duce kuna nini
 
Hepatis B

Senior Member
Feb 11, 2013
179
125
Yapo kona gani hayo majina? Hata kama wanaajili watu 100 hayo majina ni mengi HR ana memo za kutosha anazipitia now
 
prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
188
Kuwa great thinker ndugu wewe unatafuta majina ya PSPF kaz ipi, kama za huyu jamaa hii post ya mwaka 2011 na sasa tupo 2013. Take your time to research kabla hujafa kwa pressure kwa vitu vidogo kama hivi
najarib kuchek kwenye web yao lakini sijajua kona gan wameandika hayo majina...nisaidien wadau
 
prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
188
Kuwa great thinker ndugu wewe unatafuta majina ya PSPF kaz ipi, kama za huyu jamaa hii post ya mwaka 2011 na sasa tupo 2013. Take your time to research kabla hujafa kwa pressure kwa vitu vidogo kama hivi
Yapo kona gani hayo majina? Hata kama wanaajili watu 100 hayo majina ni mengi HR ana memo za kutosha anazipitia now
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom