katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Kama wewe hujaoa basi jua wewe ni mwoga wa maisha na huwezi kusimamia maisha yako vilivyo na umejificha kwenye sketi ya mama yako.
Wala hujiamini wala sio mtu wa kudhubutu hata kama unahela wewe bado hujiamini.
Nautakuwa hujipendi na hali ya sasa unaogopa kuwa mume wa mtu.
Nawapa hongera wote waliioa na nyie ni wanaume waukweli .
Nawasilisha uzi huu wa ijumaa kuu.
Msilie oeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana wanaume walioa wanamademu wengi kuliko single boys tu.
Mie ningekuwa mwanaume nisingeoa
Ndio maana hujawa hivyoMie ningekuwa mwanaume nisingeoa
Wewe una akili sana. Ndoa kwa mwanaume ni hasara.Mie ningekuwa mwanaume nisingeoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I thank JF katoto kazuri Sasa anaweza kuandika[emoji23][emoji23]
Why unasema hivyo ndoa ni barakaWewe una akili sana. Ndoa kwa mwanaume ni hasara.
Mbona haujawa specific wa umri gani?Kama wewe hujaoa basi jua wewe ni mwoga wa maisha na huwezi kusimamia maisha yako vilivyo na umejificha kwenye sketi ya mama yako.
Wala hujiamini wala sio mtu wa kudhubutu hata kama unahela wewe bado hujiamini.
Nautakuwa hujipendi na hali ya sasa unaogopa kuwa mume wa mtu.
Nawapa hongera wote waliioa na nyie ni wanaume waukweli .
Nawasilisha uzi huu wa ijumaa kuu.
Msilie oeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana wanaume walioa wanamademu wengi kuliko single boys tu.
Kumbe alikuwaga taburalasa?I thank JF katoto kazuri Sasa anaweza kuandika[emoji23][emoji23]
Kuoa sio lazima umri uwekwe wote wale ambao wameoaMbona haujawa specific wa umri gani?
Kwa wanawake labda ni baraka ila kwa sisi wanaume ni mzigo wa misumari.
Haka Kalikuwa hakajui kuandika..Ngeli Chenga.. ila ameimprove kinoma sikuhizi.. nampa Bigup!Kumbe alikuwaga taburalasa?
Naomba unielezee kwa maana sijaelewa umeniacha solembaKwa wanawake labda ni baraka ila kwa sisi wanaume ni mzigo wa misumari.
Wapi ameandika kizungu?Haka Kalikuwa hakajui kuandika..Ngeli Chenga.. ila ameimprove kinoma sikuhizi.. nampa Bigup!