Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Kuna baadhi ya wanawake hawapendi kabisa "kusex" na wamezaliwa hivyo na upungufu wa hormones mwilini.YAANI KUSEX NILIVYOKUA SIPENDI"
asant mkuu..Hili suala usilikalie kimya sababu Ndugu wanajua umemuoa na Ujauzito so wanajua anakupa Mbususu!! Mshitakie kwa Ndugu zake (UKWENI) watamkalisha chini na kumsemesha na hata kumtafutia Tiba na ufumbuzi wa kinachomsibu na Uwaambie Ndugu zake kwamba asipobadilika itabidi umuache sababu hutaki Kuzini na pia huwezi kuishi nae kama Dada yako.
Hauna mke hapo una kiburudisho tu.Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.
Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
😃😃😃 baelezeMkeo anatakiwa yy ndio ajenge mazingira ya ww kumuweka ukuni. Anatakiwa jioni ashapika katafuta movie nzuri ya kuangalia au kashaangalia ratiba ya dstv anajua muda fulani kutakua na kipindi kizuri anajiandaa ukitoka kazini au mishemishe anakuandaa vizur kwa kukupa maji uoge kachai kidogo alaf mnakula mkimaliza kashaweka mambo safi mnakaa sebuleni mnachek vipindi hapa na pale alafu anakusogeza chumbani ambapo atakua kaandaa kulingana na siku yenyewe vi masaji vya hapa na pale alafu anakupa nyama. Sasa kama hawez hayo mfundishe na kama hataki piga chini zipo pisi kibao zinattafuta watu wa kuwafanyia hayo. Alafu pia unauhakika hiyo mimba ni yako au unaharibiwa ramani ya maisha yako😂😂😂😂😂😂😂
Ana mwingine huyoNimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.
Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Mrudishe kwao kwa muda wote mjitafakariMkuu nimekaa nae sana zaidi ya mara 20 kumuambia tena in a very friendly manner..anajibu atabadlka..lakn sioni dalili yyte .kitandani wala tabia...Hlf kuhsu kua muumin wa uliyoyasema hapana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu hakuwah nifanyia hayo yote...mbaya zaid hakuwahi sema hata amenimiss anahitaj penzi lang..na nkiondoka kazini kurud saa 11 jion..wala kunijulia hali nkiwa kazin hakuna..na INSHORT nsipomuambia namhitaj kimapenz hata mwaka..yeye hana habari..SIJUI NMEOLEA NINI MZARAMO YLE.
Hatari sanaMkeo anatakiwa yy ndio ajenge mazingira ya ww kumuweka ukuni. Anatakiwa jioni ashapika katafuta movie nzuri ya kuangalia au kashaangalia ratiba ya dstv anajua muda fulani kutakua na kipindi kizuri anajiandaa ukitoka kazini au mishemishe anakuandaa vizur kwa kukupa maji uoge kachai kidogo alaf mnakula mkimaliza kashaweka mambo safi mnakaa sebuleni mnachek vipindi hapa na pale alafu anakusogeza chumbani ambapo atakua kaandaa kulingana na siku yenyewe vi masaji vya hapa na pale alafu anakupa nyama. Sasa kama hawez hayo mfundishe na kama hataki piga chini zipo pisi kibao zinattafuta watu wa kuwafanyia hayo. Alafu pia unauhakika hiyo mimba ni yako au unaharibiwa ramani ya maisha yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekupenda bure we Dada, unaushauri umetulia sana.Sasa unataka ushirikiano gani Kwa mtu mwenye mimba tumbo la miezi 7?, Akate viuno? Mwisho amuumize mtoto tumboni?
Mimba ya miezi Saba ni karaha, ye mwenyewe kashachoka, mara nyonga zimekaza....badala ya kumpa Moyo unataka ahangaike kukutega[emoji1787]
Anachokupa shukuru, maisha ya sex mtaanza akijifungua.....
Naunga mkono hojaHii Dunia hatuishi na watu tu Wengine ni mapepo.Ndiyo maana tunaambiwa unapotaka kuoa mshirikishe Mungu .Wapo watu wameolewa na mapepo na mashetani BIla kujua Kwa sababu ya tamaa za ngono .Hawa mapepo Kwa macho ya kawaida wanaonekana ni watu ila Kwa macho ya rohoni sio watu ni mapepo yaliyovaa sura ya mwanadamu .
Kama wanaweza kumbadilisha mtu awe ngombe au mbuzi alafu anachinjwa watu wanakula nyama hiyo wakidhani wanakula nyama ya ngombe kumbe ni nyama ya mtu watashindwaje kujibadilisha kuonekana kama binadamu halisia.
Ndyo maana mnaambiwa msali na kumwomba Mungu kabla ya kuoa wengi wanadhani kuoa ni suala dogo dogo.
Na malengo ya huyo mwanamke shetani ni kukunyima penzi makusudi kabisa Ili mradi akusababishe uishi katika dhambi ya uzinzi .Ili utakapokufa unapokuwa katika hali hiyo Unakuwa Moja Kwa Moja wewe ni motoni alafu yeye anakuwa anakuwa amefanikisha mission yake ya kukupeleka motoni.
Mbaya zaidi unapokufa ndipo unapokuwa unagundua kumbe nilikuwa sijaoa mtu Bali shetani .Na huko motoni Kwa sababu huyo ni Pepo ana mamlaka zaidi Yako na anakutesa Tena huko huko motoni .Hii Dunia sio ya kawaida.
Duh sasa mateso yote ya nini jamani? Mimi kama mtu akibadikika akionyesha kutonipenda nampa mwezi. Baada ya hapo akili yangu lazima ifanye maamuzi ya ajabu hadi nitajishangaa mwenyewe.Kuna wanaume wanateseka nyie,, kuna mmoja huyo yeye kwa mwezi anapewa mara 3 (maximum), mke hamjali sijui pole na kazi yani hayuko romantic, kupika sifuri mume anajifulia nguo na mengineyo na mke ni house wife tu, imefikia hatua mume anatamani mke achepuke huenda akajifunza mengi huko nje, ama atapata changamoto mpya ajue mume ni nini!!!
Mke ni mwaminifu na alimuoa akiwa bikira ndo zile za kukulama mpaka ndoa, Demi
Oa wa pili atachachangamkaMkuu hivi ni sahihi kila.siku kumuanza mke kwa sex?yaani usipomuanza basi hafanyi chochote.
Subiri uingie besty af tuone utavunja ndoa ngapiDuh sasa mateso yote ya nini jamani? Mimi kama mtu akibadikika akionyesha kutonipenda nampa mwezi. Baada ya hapo akili yangu lazima ifanye maamuzi ya ajabu hadi nitajishangaa mwenyewe.
Naamini ndoa ni mapenzi....kama hayapo siwezi kukaa mwenye mazingira ya masononeko kwa muda mrefu
15 years now. Bibi yako mie. Hata ikivunjika sina cha kupotezaSubiri uingie besty af tuone utavunja ndoa ngapi