Waliooa, naombeni msaada

Umeongea nae kuhusu hilo yeye akasemaje???
 
Huyo ana hasira na wewe kwa kumtia hiyo mimba,
Jaribu kumvumilia mpaka atakapo zaa,huenda akabadilika,inawezekana mimba ndio inamfanya awe hivyo.
Kumbuka hata hiyo mimba anasema alifanya ku force sex, muambieni ukweli huyo dada hana hisia naye na labda ajipe muda pengine ataanza kumpenda kidogo kidogo..!!
 
Hakuna cha mapepo wala nini. Huyo dada ndivyo alivyo au hampendi jamaa yaani jamaa hamsisimui kwa chochote. Wamefanya kulazimisha ndoa...
Linapokuja suala la sex kila mtu ana type yake.
Hawaendani hao
 
Kama ana mimba mvumilie....akijifungua ushangae akawa na Moto hadi ukahama nyumba.
mbona kabla ya mimba alikua na hyo hyo tbia ya kutopenda kusex..ndo nikamuambia nkimuoa abadilike..akaniahidi..lakini wapii..na before hapo kuna mdau alimtoleaga barua demu akaipiga chini na kunikubali mimi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…