Kukamata wanaozomea hakuondoi sababu za kuzomea. Ni busara kutafuta chanzo cha zomea zomea hizo badala ya kuwakamata.
Hili ndilo tatizo la Serekali hii. OCD mzima, mimi siamini, kwa nini serekali inamwacha mtu huyu kazini mpaka sasa?? Huyu ni zaidi ya mhujumu chama cha ccm kwa sababu anazidi kuwapaisha hao CDM. Hata ambaye alikuwa anashabikia kidogo ccm sasa amekwenda upinzani. Full stop. Kwa nini asitafute chanzo akautoa ushauri wake kwa Nape ili aendako asirudie kosa?
Too much of anything is harmful. Hizi kamata kamata zitakiua chama hiki tuu.