Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,470
- 122,790
Wamo aisee. Kuna watu wanaitwa Tindo na Sexless; kila nikisoma comments zao nywele zinanisisimka!! Ndo hawa Waganga matapeli
Mmmhh, umelewa nini? Naingiaje hapo?
Wamo aisee. Kuna watu wanaitwa Tindo na Sexless; kila nikisoma comments zao nywele zinanisisimka!! Ndo hawa Waganga matapeli
Duh! 😆😆Wamo aisee. Kuna watu wanaitwa Tindo na Sexless; kila nikisoma comments zao nywele zinanisisimka!! Ndo hawa Waganga matapeli
Mpwayu anakosea kuwadiss waalimu wote ila asilimia kuwa Reasoning capacity ya waalimu ni changamotoWalimdanganya apeleke hizo pesa zikaombewe ili ziongezeke kishirikina. RIP mwalimu.



Sasa kweli mwalimu unadanganywa kiboya hiviii daah.Kama mwalimu anadanganywa namna hiyo siju hao wanafunzi anaowafundisha wana hali ganiWalimdanganya apeleke hizo pesa zikaombewe ili ziongezeke kishirikina. RIP mwalimu.
Halafu ni mwalimu anafundisha watoto wetuWaamini mambo ya kishirikina huwa wapumbavu sana. Ona huyu kapoteza maisha yake.
My lord !!!