Waliomtukana aanza kukumbukwa

wasumu

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
2,057
1,710
Hili halipingiki walizoea kila kitu mteremko hadi ubakaji wa demokrasia walikuwepo kwa yote leo nashangaa kumkumbuka Jakaya Kikwete wakati matusi mengi hadi ya nguoni waje kina Ritz walivokuwa wakikashifiwa hadi kusema serikali ya Jakaya Kikwete haijafanya chochote.

Leo nashangaa mnamkumbuka Jakaya Kikwete au kwa kahawa ya ikulu, UKAWA hawajui siasa siasa za sera ila mnaishi kwa matukio always.Kumbuka hamwezi mkampata mwananchi kwa serikali ya sasa mmdanganye hadanganyiki mtu.
 
Sijaelewa ulichomaanisha mkuu, huenda ulikua na hoja ya msingi ila hujui uwasilishije.

Ni lini Ukawa walienda au walitangaza kutaka kwenda kunywa kahawa Ikulu?

Kwa akili zako za Udom unadhani kweli mtu kama Mbowe,Lema,Msigwa n.k wanaweza wakatamani kwenda Ikulu just for Kahawa?

Its only a fool ambae anaeza kuukosoa/kukosoa utendaji wa Ukawa kama ulivyo wewe , though simaanishi kua Ukawa wako sahihi kwa yote kama vile ilivyo kwa serikali isivyo sahihi kwa yote.

Acha kuuzunguka mbuyu ,jenga hoja!!!
 
Back
Top Bottom