Waliomteka Dr Ulimboka mbona hawakamatwi?

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
Huyo jamaa tajwa ni afisa wa TISS, kwa mujibu wa mtekwaji wa kipindi kile Dr Olimboka alimtaja bwana Ighondu ndo aliyehusika na kumteka. Hivi je jamaa alikamtwa? Na kesi yake iliishaje au bado inaendelea?
 
Huwezi kusikia afisa usalama wa taifa kukamatwa hata Siku moja nikama mwanajeshi kuua akiwa eneo la lindo huwez sikia kukamatwa
 
Wacha uchochezi ulikuwa nae? Ukishawatuhumu polisi au usalama basi watakuachia uchunguzi ufanye mwenyewe kama lissu.
 
Tunafuatilia taarifa ya c musiba,japo nyie mnamuita kichaa
 
Back
Top Bottom