Waliomba transfer tcu

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Wale mlioomba transfer tcu, mambo tayari, pitie kwenye web then click ile taarifa ya selected student, utaona link yake.

Naomba niwaulize kama umepata mkopo ktk chuo ambacho ndio umeamishwa, kutransfer mkopo inawezekana? Na utaratibu wa kufanya ukoje?
 
wamesema TCU ndio wana mamlaka ya kuwaambia bodi kuhamisha mkopo,kama jina lako litakuwepo kwenye transfered students,bac litatumwa bodi kwa uhamishiwaj wa mkopo kama ulipata lakin!
 
kwa hiyo automatic wao wenyewe watacheza na hiyo transfer ya loan wakishapata majina au?
 
ndio manake,ila kuwa nasubira,tupo kama mia tano hv!af ictoshé wapo ambao walikuwa admitted mara mbili,mkopo wao ukaenda kwenye chuo ambacho hatak kwenda nao pia inawahusu!
 
me ni miongoni mwa tulio hamishwa, nlienda bodi ya mkopo jumanne, rum no 24 nkaambiwa niandike barua ya kueleza, plus copy ya majina kwenye web ni highlight jina langu, nimemalza hzo narudsha rum no.9 nkaambiwa hakukua na umuhmu wa kufanya hvo coz tcu watapeleka list ya transfad students, bt mkopo we2 utachelewa kidogo! Nawasilisha
 
Mlifanikisha kuhamisha? Tujuzeni wengine tuna tatizo hili mpaka sasa hatuelewi
 
pesa nilipata but very late kwenye april this year, but the good news is that tulipata zote na za nyuma at atime yani me iliingia kama 2,052,000 tsh hivi. baada ya hapo nikaendelea kupata kama wengine
 
Asante sana kaka. Vipi mkopo unahama kias kilekile au wanafanya mabadiliko? Kwa mfano mwanzo tuition fee wamenilipia laki 9. Je wataihamisha hiihii??
 
pesa inakuja ileile ulopangiwa sema mnyumbuliko unatofautiana chuo na chuo kwa sababu vyuo vingine wana field mwaka wa kwanza wengine hawana so inakatwa vitu vingine vyote inayobaki ndo ada
 
Back
Top Bottom