Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 720
- 1,210
Ushauri tu
Kwa vijana au wenye ndugu walioenda JKT mujibu wa sheria kipindi mkiwa mnakaribia kufunga mafunzo kuna nafasi huwaga zinatolewa kwa wanafunzi waliofaulu hesabu “C” kwenda kufanya mafunzo ya afsa kadeti kule arusha
Ikitokea katika kambi yako hizo nafsi zikatolewa ni vizuri ukajiandikisha then baada ya kupata selection za vyuo huwapigia simu na kuwaita jeshini...
Nenda kijana, utakuja kunishukuru baadae usidanaganyike na mkopo wa Heslb 100%
Mwaka jana kuna washakji walipigiwa simu kuitwa mafunzoni wakati huo tayar selection za vyuo zilishatoka na walikua washapata mkopo ilikuwa ni swala la kuripoti chuo tu...kuna mmoja aligoma kwenda akasema hawezi kuacha mkopo asilimia 100 ..wengine wawili walikubali kurudi jeshini wakaenda kule arusha kufanya mafunzo
Juzi napata taarifa wale vijana washamaliza mafunzo ya awali tayari yaani ni wajeda full...kilichobaki wanaenda kozi ya uafisa
Huyu mwengine alienda chuo amepata mkopo laki 4[emoji23][emoji23][emoji23]
Japo kila mtu na maisha yake lakini kama wewe ni mwenzangu na mimi unga unga mwana ni bora uende tu ikitokea umepata hiyo nafasi vyuoni sikuo hizi hamna ishu wanafunzi wengii
Utakuja kunishukuru Baadae