waliokwishakufanya interview na tume ya ajira pls. imalizeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waliokwishakufanya interview na tume ya ajira pls. imalizeni

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mmteule, May 11, 2012.

 1. m

  mmteule JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  wanajamvi sisi sote ni ndugu moja, mimi napenda kuomba wale wanajamvi ambao wamewahi kufanya interview yoyote na tume ya ajira kwa maana ya writen interview ama oral interview wawe wanaweka dondoo ama swali zima zima humu jamvini ili kuwajengea uwezo wa kukabiliana na hizo interview za tume ya ajira wale wenzetu ambao bado ni atafutaji. tuache ubinafsi na masihara kwenye hii thread... naamini itakua ndio msingi na suluhisho la maswali ya tume hasa yale yanayorudiwa rudiwa.naomba wanajamvi wote tushirikiane katika hili pls plskwa kuanza mimi nadondosha kitu!What are the ethics(good qualties) of public servants? ie honesty,integrity,loyalty,responsiveness,courtesy,non corrupt, etc nawasilisha
   
 2. dogojanja 87

  dogojanja 87 JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 885
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  komaa na maswali ya kiprofessional walokuitia,hawana chai,jamaa wanagusa kwenye fani yako moja kwa moja,kama vipi tafuta madesa yako ya chuo soma general knowledge in particular with vacancy.usisahau Introduction yako ndo swali la kwanza!
   
 3. b

  bebiwilli Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimewahi kufanya interview mbili za utumishi,kwenye written interview sijawah kukutana na swali kama hilo kama itatokea mara chache,hakikisha unasoma ulichofundishwa darasani,kama accountant soma vitin vya account kwa summary,kama auditor soma vya auditing, ulivyofundishwa vyote utavikuta,hata kwenye oral maswali mengi wanauliza ya professional yako,ila na maswali ya general knowledge usisahau kupitia,interview ya leo si ya kesho.gd luck
   
Loading...