yeh that's the truth though for Gaddafi haki haikutendeka kwa jinsi alivyokufa na kuzikwa,ila as for me japo aliuawa mwishoni lakini kwangu na moyoni mwangu nitawaona mshindi daima he is an African hero as well as Nyerere and Mandela African lions sasa hivi tumembakiza simba Mugabe.
Niliitazama DVD yk jinsi alivyoitetea Africa, fitina zilivyoanza, mpaka alivyokufa kama mwizi flani hivi!! Roho yng iliumia sana.. Hakustahili kifo kile na wema aliotendea nchi yake na africa nzima kwa ujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.