Tumia akili kufikiria mkuu..huo ni mkopo kwa wale wasioweza kujisomesha chuo na sio fadhila kwa waliofaulu
Hapo wanatumia vigezo gani kama baba alimsomesha mtoto wakati anafanya kazi sasa amestaafu kinua mgongo 25% mtoto amefaulu anaambiwa hupati mkopo!! Akimaliza mtamuuliza kwani ni sio mzalendo ? Akipata Kazi Botswana?
Kwny mkopo umeaongea pumbaSometime inachekeshamnaweza sema kwa sababu wamesoma shule za gharama
Ooh wazazi wao wana pesa wawalilie na chuo
But turud katika ukweli “ hawa ni watu wenye uwezo mkubwa na vipaji vikubwa sana ingetakiwa serikali iinvest kwao, iwatafutie vyuo bora na kuwasomesha ili kutoa madaktari bora kabisa wa kuja kulisaidia taifa”
Inashangaza kuona nane kati yao wamekosa mkopo na wawili ndo wamepata ufadhiri kutoka taasisi binafsi
Sawa wamesoma shule za gharama but hawa ni watu muhim sana wenye uwezo mkubwa wa kulisaidia Taifa mbeleni
Mkopo sio msaada. Kiposha wote, kisha waambie warudishe.Tumia akili kufikiria mkuu..huo ni mkopo kwa wale wasioweza kujisomesha chuo na sio fadhila kwa waliofaulu
kawaida tu...kufaulu sana sio kigezo cha kupata mkopo. labda familia yao ina uchumi mzuri kitu ambacho kinamwekea kikwazo kwenye kupata mkopo, na mkopo uko pale kwa ajili ya watoto wanaotoka familia duniSometime inachekeshamnaweza sema kwa sababu wamesoma shule za gharama
Ooh wazazi wao wana pesa wawalilie na chuo
But turud katika ukweli “ hawa ni watu wenye uwezo mkubwa na vipaji vikubwa sana ingetakiwa serikali iinvest kwao, iwatafutie vyuo bora na kuwasomesha ili kutoa madaktari bora kabisa wa kuja kulisaidia taifa”
Inashangaza kuona nane kati yao wamekosa mkopo na wawili ndo wamepata ufadhiri kutoka taasisi binafsi
Sawa wamesoma shule za gharama but hawa ni watu muhim sana wenye uwezo mkubwa wa kulisaidia Taifa mbeleni
Mikopo ni kwa yeyote anayeweza kulipa.Tatizo una hasira sana na inaonekana unatumia makalio kufikri....mkopo ninkwa ajili ya kusaidia wasiojiweza na sio reward kwa aliyefaulu.....alaf hii ni Tanzania na sio nchi za wenzetu
Sometime inachekeshamnaweza sema kwa sababu wamesoma shule za gharama
Ooh wazazi wao wana pesa wawalilie na chuo
But turud katika ukweli “ hawa ni watu wenye uwezo mkubwa na vipaji vikubwa sana ingetakiwa serikali iinvest kwao, iwatafutie vyuo bora na kuwasomesha ili kutoa madaktari bora kabisa wa kuja kulisaidia taifa”
Inashangaza kuona nane kati yao wamekosa mkopo na wawili ndo wamepata ufadhiri kutoka taasisi binafsi
Sawa wamesoma shule za gharama but hawa ni watu muhim sana wenye uwezo mkubwa wa kulisaidia Taifa mbeleni
MUHAS, UDOM na UDSM wanadahili wanafunzi Shahada ya Udaktari wa Binadamu. Kazi kwakoOk. Vyuo ni viwili. Haya turudi kwenye mada.
Kwasababu aliesoma ada milioni 5 ana uhakika wa kuzirudisha zaidi kuliko aliesoma ada laki moja hapo lazima utumie akiliHv nini maana ya mkopo unaanzaje kumkopesha mtu aliyesoma shule ya ada milion tano kwa mwaka akapat division one halafu umuache yule aliyesona shule ada laki moja akapt division two. Embu acheni kulaum kila kitu.