Ulisikitishwa na nini?Nimeona jana nikasikitika kichizi
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣ukawaonea huruma washitakiwaNimeona jana nikasikitika kichizi
Ticha alikua mjane kitambo,marehemu kahamia mwanza kamkuta bibie mjaneHv alikua na mke wa mtu kumbe?
Sema huyu mwalimu alikua na nyota sana aisee, nahisi umbo lake na sura viliwachanganya sana !!..marehem alikuwa 'bingwa' wa kugegeda wake za watu, mwache a-'rest in piece' kimya kimya, yaani kamanda mzima anauwawa saa8 za usiku akiwa kwenye harakati za kuishugulikia papuchi ya mwalimu? kazi kweli kweli...
Ticha alikua pini , sema nayeye alikua kicheche tu.Ticha alikua mjane kwahiyo kamanda alikua anamiliki kihalali inaonekana aliwahiwa na wauaji
Ticha alikua mjane kitambo,marehemu kahamia mwanza kamkuta bibie mjane
Papuchi ina nguvu za ajabu sana, sasa huyo Mwanamke wanamkosa wote afu anabaki kitaa wajanja wakijitafunia tu.Ticha alikua pini , sema nayeye alikua kicheche tu.
Sema nn, kamanda alijaribu kumpoteza Jamaa WA madini, almanusura jamaa akaponea chupuchupu kama alivyonusurika TL.
Naye jamaa akaamua kumvizia kamanda ...kamanda ye akapatikana !!
Dah...nini hasa kilichokusikitisha? Kuuawa kwa kamanda? Kunyongwa kwa wahusika? Au kuona tu?Nimeona jana nikasikitika kichizi
Ticha alikua mjane kwahiyo kamanda alikua anamiliki kihalali inaonekana aliwahiwa na wauaji
Ticha alikua pini , sema nayeye alikua kicheche tu.