Waliokufa Arusha ni SITA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliokufa Arusha ni SITA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Inkoskaz, Jan 8, 2011.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Mwenyekiti wa CDM taifa Freeman Mbowe ameongea na waandishi wa habari leo na kutoa uthibitisho,miongoni mwao mmoja ni raia wa kenya aliyekuwa nchini kwa biashara zake,maiti 2 zilifikishwa KCMC na polisi kama unknown!

  Source: Star TV/ITV taarifa ya habari saa 2 usiku
   
 2. m

  mwasungo Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watawala huwa hawasemi ukweli daima.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Huyo mkenya sijui watamzika wapi
   
 4. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mimi naamini ukweli utajulikana tu na tutaandamana tena kwa ajili ya watu hao walio kufa, Siku hizi hakuna siri hata kidogo naamini huenda ni zaidi ya hao.

  Mungu awalaze mashujaa peponi amen
   
 5. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Miili sita ndio inayoweza onekana kwa sasa lakini ukiongea na askari ambao kwa bahati mbaya wengi wanatamba kwa kitendo cha kuwafyatulia raia kwa lengo la kuwaua na si kuwatawanya wanachosema ni kuwa zaidi ya watu kumi walikufa na baadhi ya miili yao ilikusanya na kupelekwa vyumba vya kuhifadhia maiti ktk hospitali mbalimbali kama KCMC, Monduli nk kama unknown persons hii ni pamoja mwili wa askari UKIWA NA KOMBATI za jeshi la polisi uliopelekwa KCMC. Kuna taarifa kuwa baadhi ya miili ilizikwa na askari.

  With time tutapata details zote. Tunawaasa watu wa Arusha kutoa ripoti za missing persons
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu... hapo kwa kipanga na mkulima wanasemaje kuhusu hilo la Arusha najua hii mikoa ni karibu sana ... je vurugu hizi hazijaleta usumbufu hapo mo-town
   
 7. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Go ahead kuficha ukweli lakini ipn siku tutajua. tukumbuke wenzetu kenya polisi walikuwa wakiua raia wanakwenda zika porini na siku moja makaburi yaligundulika.
   
 8. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Chadema: Arusha clash death toll rises to six

  By Lusekelo Philemon
  9th January 2011  The death toll from Wednesday's bloody clashes in Arusha between Chadema supporters and police has now climbed to six, a special committee formed by the opposition party has claimed.


  Chadema national chairman Freeman Mbowe told a press conference on Friday evening that there have been reports of bodies being sent to the Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) and Mawenzi Hospital, both in Moshi.


  According to Mbowe, a 14-year-old child said to have been shot by police at Naura Primary School in Arusha last Wednesday, identified by one name as Samwel, was being treated at KCMC.


  "Also the police tried to conceal their brutality by smuggling bodies from the region before dumping them elsewhere," Mbowe, further claimed, adding that earlier reports that more than 10 people were killed as reported by international media outlets, were likely to be true.


  Chadema said they formed a special committee to investigate the actual number of victims of the bloody clash. However, according to police so far only three persons have been killed in the January 5 fracas.


  "At the Mount Meru Hospital the committee discovered a Kenyan identity card belonging to one Paul Njuguna Kaiyehe aged 26 but his body could not be accounted for," said Mbowe pointing out that a committee formed by his party can confidently testify of six deaths so far.


  "At the KCMC there is an unidentified body bearing bullet wounds and the attendant said it was taken to the morgue by the police and dumped there without explanation while at Mawenzi a body was dropped there," Mbowe stated.


  Arusha Regional Chief Physician, Salash Toure, named the dead as Ismail Omar, Dennis Michael, George Waitara and an unknown person who was brought to the hospital gasping for breath but died before he could utter a word. He lacked any form of identification.


  As we went to press an injured person who was being admitted to Mount Meru Hospital reportedly passed away. While Chadema blamed the police for excessive use of force, President Jakaya Kikwete on Friday described the deadly clashes as unfortunate.


  SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

  RIP
   
 9. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  gharama za kuzuia maandamano ni kubwa mno kuliko kama wangeyaruhusu. halafu jk anasema bahati mbaya. hivi wana jf inaingia akilini kweli? maandamano tu unabeba silaha za vita? anyway .....yetu macho.
   
 10. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,301
  Likes Received: 2,127
  Trophy Points: 280
  kwa maandamano yale yaliyokua na lengo la kuhamasisha vurugu siraha zilikua muhimu
   
 11. Shemzigwa

  Shemzigwa JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawana kazi ndio maana
   
 12. Panga la Yesu

  Panga la Yesu JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii inatisha hakika, Mungu na aseme nao!
   
 13. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mwisho wa chama cha majambazi upo karibu...damu za hawa mashujaa hazitakwenda bure!
   
Loading...