miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
nitakupa...
haya asante
nitakupa...
nilipoona title nikajua kuna very useful content ila nilichoona nimeishia tu kuangalia kwa kweli nimejiuliza hili piaKumbe ndoa ni kufanyana tuuuuu! kaaz kwel kwel
karibu, lini unataka...?haya asante
Marahabaa, madamu ushajifunza hayo... basi hapo juu kuna vitabu kavi tambulisha da faiza Foxy uvisome ...utafuzu ktk Ndoa !!ha ha ha huku kwetu mbona hii darasa nishapewa kitaaaaambo labda mengine kama kipo nisichokijua chezea pwani wewe ha ha ha
Yote ya nini, unatoka na kijana wa mtaani alafu unafanya juu chini ajuedawa yao ni kufanya punyeto usiku mbele yake
Kwa kawaida mwanaume huhitaji kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kuliko mwanamke, ukiona mume wako anavisingizio tele ili tu asishiriki tendo hilo.
Mara leo nimechoka sana, mara kichwa kinauma, mara leo mgongo unavuta, mara joto limezidi basi hiyo ni alama tosha ya kukujuza kuwa aidha penzi lake kwako limeshuka sana kiasi cha kutolifurahia tendo hilo nawewe.
Au kuna jinsi unavyofanya naye na hapendezwi nayo au kuna sehemu anakoshiba na hana haja ya kuharibu njaa yake kwako na kama ukiona mwanamke ndio anayetoa visingizio hivi basi ujue kuna jambo au mambo hayajakaa sawa baina yenu na yanahitaji kushughulikiwa.
Kumbuka wakati wote kwamba tendo la ndoa ni mbolea ya maana sana katika kila ndoa, lisipokuwapo au lisipotolewa kwa utoshelevu husababisha mazingira hatarishi.
Yote ya nini, unatoka na kijana wa mtaani alafu unafanya juu chini ajue
Mmmh Usiwe Mzuiaji haraka hivyo !! kwa maneno mataamu na Vitendo vizrivizri Mweke kitaako na muongee!! (tumepewa midomo na ndimi ya nini?) tumia umahiri wako.. au nenda tanga ukajifunze kozi za wa mama juu ya wa baba !! ... tija itakuwa Ubingwa mbele.....! hongera bahati mbayaJe kama haachi kodi ya meza ya kutosha upike msosi kutoka wapi?
Aiseee baba yako ana shida sana miss chagga
For the first time, please FF, accept my highest respect. I have thoroughly read The Perfumed Garden. It is so intriguing.Nawashauri vijana msome kitabu kiitwacho The Perfumed Garden kilichotafsiriwa na Richard Burton kutoka kitabu cha Sheykh Nefzawi.
Hayo mambo yote yanayowasumbuwa yamewekwa humo na ujanja wake na njia zake na namna zake.
Kipo cha bure mtandaoni, bofya link: The Perfumed Garden: Introduction
dawa yao ni kufanya punyeto usiku mbele yake
af akikuomba unamwambia no baby....satisfied!!!!ha ha ha