Walioitwa UDOM katika position ya Lab Engineer/Scientist katika Coes

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,088
423
Habari Wajumbe,

Kuna mtu yoyote alieitwa katika wale tuliofanya interview katika College of Earth Science UDOM tarehe 30 Nov 2015 (Oral) kwa position ya Laboratory Engineer/Scientist?

Naomba tupeane updates ndugu zanguni
 
Back
Top Bottom