walioitwa oral interview muhimbili tujuzane!

mundu mkongw

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
202
Reaction score
88
j.tano tulifanyavinterview y assistant supplies officer tuliambiwa oral itafanyika tarehe 24, mpaka leo tareh23, kimyaa nimemuuliza mshikaji wangu niliyefanya nae interview hakuitwa pia so kama kuna aliyeitwa tujuzane?
 
kumbe muhimbili walishaita,

Mimi pia niliapply post ya Administrative officer hadi leo kimyaa,

siku hio mlifanya na wa post zingine au mlikua peke yenu?

ila subiria labda wamechelewa kuita,lakini wiki ijayo ikipita hamjaitwa ujue hamkupita kwenda oral
 
Aise mimi pia nimefanya Interview hapo lakini hii ni wiki ya tatu wako kimya
 
j.tano tulifanyavinterview y assistant supplies officer tuliambiwa oral itafanyika tarehe 24, mpaka leo tareh23, kimyaa nimemuuliza mshikaji wangu niliyefanya nae interview hakuitwa pia so kama kuna aliyeitwa tujuzane?

Kwani waliwaambia wote mtaitwa kwenye Oral interview au wale watakaokua wamefanya vizuri written?
 
kumbe muhimbili walishaita,

Mimi pia niliapply post ya Administrative officer hadi leo kimyaa,

siku hio mlifanya na wa post zingine au mlikua peke yenu?

ila subiria labda wamechelewa kuita,lakini wiki ijayo ikipita hamjaitwa ujue hamkupita kwenda oral

Tulipo maliza kufanya interview kuna wengine waliingia ila sikuwauliza ni post waliiomba
 
Kwani waliwaambia wote mtaitwa kwenye Oral interview au wale watakaokua wamefanya vizuri written?

walituambia ukiona hujaitwa hadi tarehe 23, jua hukufanikiwa kuchaguliwa oral ila paper naona ilikuwa fair sana pia hakukua na uwazi maana tuliandika majina,pia msimamizi alikuja na mitihani kwenye bahasha iliyowazi ndio maana ninamashaka?
 
vp nafasi ya internal auditor na accountant II?

sifamu interview z muhimbili zina usiri wa hali ya juu sana hata mm sifahamu kinachoendelea kuhusu interview niliyofanya ila unawez kuwapigia simu kuwauliza
 
walituambia ukiona hujaitwa hadi tarehe 23, jua hukufanikiwa kuchaguliwa oral ila paper naona ilikuwa fair sana pia hakukua na uwazi maana tuliandika majina,pia msimamizi alikuja na mitihani kwenye bahasha iliyowazi ndio maana ninamashaka?

Mnaandika majina tena na sio namba mbona wana mambo ya kizamani hivo hao waige sekretariet ni mwendo wa namba hata akiwa anamark paper hajui ni nani inaepusha kujuana kwa kiac flan
 
Back
Top Bottom