illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,119
acha kudanganya watu.,labda hayo majina yapo kwny website yako..,lakn kwny website ya pccb ambayo ni PREVENTION AND COMBATING OF CORRUPTION BUREAU which is an official website for pccb hakuna kitu kama hicho

Hao pccb mbona hata kazi yao siioni? hosp,mahakamani,polisi,tanesco,halmashauri,wizarani rushwa kwa kwenda mbele au wanachukuliwa ili wakabariki rushwa zaidi na wao wakila rushwa kuliko wote.
ngoja niweke na link kabisa nimegundua kuna hawa wanaitwa BBC yaani born before computers washaanza kutuita waongo
INVITATION FOR APTITUDE TEST
Hao pccb mbona hata kazi yao siioni? hosp,mahakamani,polisi,tanesco,halmashauri,wizarani rushwa kwa kwenda mbele au wanachukuliwa ili wakabariki rushwa zaidi na wao wakila rushwa kuliko wote.
Watanzania bado sana, this is supposed to be very confidencial. What if nina kazi sehemu nataka nichomoke kimyakimya nikipiga interview nikipata ndo nimjulishe mwajiri wangu? Can you imagine ajue kuwa nina intention ya kuondoka then nipigwe chini kwenye interview- si trust inaweza kuvunjika? Si atajua niko mguu nje mguu ndani siku zote? This is a serious breach of confidentiality
ungeandika kiswahili tungeelewa zaidi, hii lugha ya malkia, niko jamaa hapa yeye alifanikiwa kusoma zile shule za akademia anasema kingereza chako kimevunjika
Mwambie akuambie nilipovunja, haitakua vibaya akinipa shule hapa na usidhani kwenda shule za academy ndo kujua kiingereza, mi nimesomea kijijini na napandisha kama kawa.niko jamaa hapa yeye alifanikiwa kusoma zile shule za akademia anasema kingereza chako kimevunjika