mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,699
- 57,853
Sasa hivi umeacha?
Hizi Casino kila siku zinabadili majina tu!
Palm Beach Hotel pale kuna Casino
Las Vegasi njia panda ya kwenda Agha Khan kuna Casino
IT Plaza kuna Casino ( Princes Casino)
Opposite na Kitega Uchumi Kuna ilikua Macau now ni Premier
Haytt Hotel pale kuna Casino nadhani ni Calaxy
JM Hall pale kuna Casino!
Changamoto za Casino kwa wafanyakazi wake!
Kuvaa nguo fupi!
Kutukanwa matusi na wateja,hasa mteja ambaye hua anacheza pesa ndefu ni shida sana!
Kukesha umesimama,mda wakupumzika ni mdogo sana!
Kwa wanawake kuliwa sana,maana watu wanakuja na pesa,wakati mwingine mtu anakula pesa ndefu,sasa kukupa tip ya 1M sio tatizo kabisa!
Faida zake! Nikupata pesa za haraka sana! Kuiba,mnapanga njama na wateja,unakua unampa mteja ile chips yenye hela,ila mkikamatwa! Inabidi muweke ka chain ka wizi flan!
Wakati wa miaka ya 2011 hadi 2015 mwishoni,nimecheza sana Casino! Nimekula pesa kiasi chake! Nikafanya maendeleo kiasi chake,
Changamoto kwa wateja! Ukiwa na pesa za mawazo usijaribu kucheza Casino,utalia machozi ya Simba!